Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI OMAN

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, jana usiku 14-10-2022, akitokea Nchini Oman baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi ya Siku Nne Nchini humo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kuelezea mafanikio ya ziara yake ya Kikazi ya siku nne Nchini Oman.(

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar, akizungumzia mafanikio ya ziara yake ya Kikazi Nchini Oman, mazungumzo hayo yualiofanyika katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, (kulia kwa Rais)Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzinar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed. (Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor