Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa wakati akizindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Buseresere na Katoro Mkoani Geita.

Previous articleRAIS SAMIA ATEMBELEA JENGO LA MAKUMBUSHO YA HAYATI DKT.MAGUFULI,AKAGUA HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA CHATO MKOANI GEITA
Next articlePOLISI WATOA TAHADHARI YA UTAPELI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here