Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

Gameofbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

radissonbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kimataifa

WAZIRI MASAUNI AWASILI JIJINI GENEVA, NCHINI USWISI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akizungumza katika kikao na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uswisi wakati alipowasili katika jijini la Geneva nchini humo leo Oktoba 9, 2022 kwa ajili ya kuiwakilisha Serikali katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR). Watatu kushoto ni Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania nchini Uswisi, Maimuna Tarishi, wapili kulia ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Tanzania nchini Uswisi, Hoyce Temu, na wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi. 

……………………………………..

Na Mwandishi Wetu, MoHA, Geneva.

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema anatarajia kuiwakilisha Serikali ya Tanzania katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR).

Kikao hicho ambacho kinaanza leo Jumatatu Oktoba 10, 2022, kitafanyika katika jijini la Geneva, nchini Uswisi, Ulaya Magharibi kitajadili masuala mbalimbali yakiwemo jinsi ya kuwahifadhi na kuwasimamia Wakimbizi waliopo katika nchi mbalimbali duniani.

Waziri Masauni ameambatana na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi wa Wizara hiyo, Sudi Mwakibasi tayari wamewasili jijini Geneva nchini hapa, Jumapili Oktoba 9, 2022, akiwa tayari kuiwakilishi Tanzania katika Kikao hicho kwa kutoa taarifa ya Wakimbizi waliopo nchini.

Masauni na wasaidizi wake wamepokelewa na Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania nchini Uswisi, Maimuna Tarishi, Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Tanzania, Hoyce Temu na Maafisa mbalimbali wa Ubalozi huo na baadaye kufanya kikao na maafisa hao wa ubalozi.

Akizungumza katika kikao hicho cha mapokezi kilichofanyika ofisi za ubalozi huo, jijini humo, amemshukuru Balozi Tarishi pamoja na maafisa wake kwa mapokezi mazuri na ameomba ushirikiano nao zaidi mpaka kikao hicho cha siku tano kitapomalizika.

“Mheshimiwa Balozi pamoja na maafisa wote wa ubalozi huu, nawashukuru sana kwa mapokezi mlionipa, nashukuru kwa miongozo mbalimbali kuhusu kikao hicho, naamini tutakuwa pamoja katika kuiwakilisha Serikali katika siku zote za kikao,” alisema Masauni.

Awali Balozi Tarishi alishukuru kwa Waziri pamoja na msafara wake kwa kuwasili salama nchini humu na watakuwa pamoja naye katika kikao hicho muhimu ambacho kinatarjia kutoa dira kuhusu kuwahudumia wakimbizi.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mwakibasi alisema Tanzania imekuwa mjumbe wa muhimu kwenye Kamati Tendaji ya UNHCR kufuatia historia ya muda mrefu kwenye uhifadhi na usimamizi wa masuala ya Wakimbizi nchini Tanzania.

“Mheshimiwa Waziri, kikao hiki ni Kikao kazi ambacho ufanyika kwa mujibu wa ratiba kikiwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya Wakimbizi ambapo Tanzania pia ni moja ya nchi duniani inayohifadhi na kusimamia wakimbizi,” alisema Mwakibasi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika kikao na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uswisi wakati alipowasili katika jijini la Geneva nchini humo leo Oktoba 9, 2022 kwa ajili ya kuiwakilisha Serikali katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR). 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akizungumza katika kikao na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uswisi wakati alipowasili katika jijini la Geneva nchini humo leo Oktoba 9, 2022 kwa ajili ya kuiwakilisha Serikali katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR). Watatu kushoto ni Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania nchini Uswisi, Maimuna Tarishi, wapili kulia ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Tanzania nchini Uswisi, Hoyce Temu, na wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akimsikiliza Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Taifa, Geneva nchini Uswisi, Maimuna Tarishi, wakati alipokuwa akimkaribisha Waziri huyo nchini humo kwa ajili ya kuiwakilisha Serikali katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR). Wapili kulia ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu, Umoja wa Mataifa, nchini humo, Hoyce Temu, na wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akimsikiliza Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania katika Umoja wa Taifa, Geneva nchini Uswisi, Hoyce Temu akifafanua jambo katika Kikao cha Waziri huyo na Maafisa wa Ubalozi, kilichofanyika Ofisi ya Ubalozi huo, jijini Geneva, leo Oktoba 9, 2022. Wapili kushoto ni Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania, nchini Uswisi, Maimuna Tarishi, na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisaini kitabu cha wageni katika Ubalozi  wa Tanzania nchni Uswisi wakati alipokuwa amewasili jijini Geneva nchini humo, leo Oktoba 9, 2022 kwa ajili ya kuiwakilisha Serikali katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR).

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Waklimbizi, Sudi Mwakibasi akisaini kitabu cha wageni katika Ubalozi  wa Tanzania nchni Uswisi wakati alipowasili na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, jijini Geneva nchini humo, Oktoba 9, 2022 kwa ajili ya kushiriki Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR)

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania nchini Uswisi, Maimuna Tarishi akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad masauni (hayupo pichani) wakati Waziri huyo alipowasili ofisi za Ubalozi huo, jijini Geneva nchini humo, Oktoba 9, 2022 kwa ajili ya kuiwakilisha Serikali katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR). 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania nchini Uswisi, Maimuna Tarishi (kushoto), wakati Waziri huyo alipowasili katika Ofisi za Ublaozi huo zilizopo jijini Geneva, Oktoba 9, 2022. Kulia ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Tanzania, Hoyce Temu, na wapili kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi. 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akizungumza katika kikao na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uswisi wakati alipowasili katika jijini la Geneva nchini humo Oktoba 9, 2022 kwa ajili ya kuiwakilisha Serikali katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR). Watatu kushoto ni Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania, Maimuna Tarishi, wapili kulia ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Umoja wa Mataifa, Hoyce Temu, na wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

About the author

Alex Sonna