Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AKABIDHIWA RIPOTI YA MKUTANO WA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA

Written by mzalendoeditor

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea ripoti ya  Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi)  ya Kuchangua maoni ya washiriki wa mkutano wa Wadau wa demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,kutoka kwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi  Mhandisi Zena Ahmed Said leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi)  ya Kuchangua maoni ya washiriki wa mkutano wa Wadau wa demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa, leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi)  ya Kuchangua maoni ya washiriki wa mkutano wa Wadau wa demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika hafla ya kukabidhi ripoti ya  mkutano wa Wadau wa demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa uliofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti Kamati Maalum (kikosi Kazi) Dkt.Ali Uki, ripoti ya  Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi)  ya Kuchangua maoni ya washiriki wa mkutano wa Wadau wa demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,kwa ajili ya kuifanyika kazi  katika hafla yailiyofanyika leo   Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja mara ya baada ya kupokea ripoti ya  Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi)  ya Kuchangua maoni ya washiriki wa mkutano wa Wadau wa demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa,katika hafla iliyofanyika leo  katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor