marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis giriş

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

celtabet

casino zonder cruks

Featured Kitaifa

MASHIRIKA YATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI

Written by Alex Sonna

MWENYEKITI wa Bodi ya Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali nchini Mwantumu Mahiza,akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini uliofanyika leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma.

………………………………..

Na Alex Sonna-DODOMA

MWENYEKITI wa Bodi ya Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali nchini Mwantumu Mahiza,ameyataka mashirika kufanya kazi kwa kushirikiana na serikali ili kuondoa dhana iliyojengeka kuwa Asasi za kiraia ni adui wa serikali.

Hayo ameyasema leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma wakati  akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini.

Amesema kuwa mashirika yanatakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano na Serikali ili kuondoa dhana inayojengeka kuwa Asasi za Kirai ni adui wa Serikali na hakuna maelewano

“Hapo zamani ilijengeka kuwa Asasi za kiraia ni adui na serikali jambo hilo siyo sawa kwani wote kila tunachokifanya ni kwa ajili ya maslahi ya taifa letu hivyo tunajenga nyumba moja hatipaswi kuogombania fito”amesema Mahiza

Aidha ameyataka mashiriki kutoyatumia mapungufu yalipo katika maeneo mbalimbali yanayosimamiwa na serikali kama fursa ya kupata fedha kwa wafadhiri.

“Leo hii tumefika mahala tunavuana nguo ili tupate fedha kwa wafadhiri nawaombeni kama shirika linabaini kuna changamoto fulani basi kuwasailiana na uongozi wa eneo husika ili zifanyiwe kazi badala ya kupiga picha na kutuma huko duniani”amesema

Hata hivyo ameonya mashirika ambayo yatajihusisha na kutetea ndoa za jinsia moja kinyume na mila za kitanzania kwa madai ya kulinda haki za binadamu.

“Hatuwezi kuruhu haki za binadamu zinazopingana na mila zetu hata mara moja leo hii hata wewe mwanao wa kiume unasikia anaolewa na mwanaume mwezake utajisikiaje”?alihoji Mwantumu Mahiza

Kwa upande wake MRAJISI wa asasi zisizo za kiserikali Zanzibar, Ahmed Khalid Abdalla,amewataka washiriki wa mkutano huo kutumia fursa hiyo kujadiliana changamoto zilizopo kwenye jamii na kuzifanyia kazi.

Naye Mkurugenzi wa Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu (THRDC), Onesmo Olengurumwa ameiomba serikali kufanyia marekebisho ya sera inayosimamia mashirika yasiyo ya kiserikali ikiwa ni pamoja na kuyaondolea kodi katika vitu mbalimbali ambavyo wamekuwa wakiingiza kutoka nje ya nchi. 

 

MWENYEKITI wa Bodi ya Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali nchini Mwantumu Mahiza,akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini uliofanyika leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Bodi ya Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali nchini Mwantumu Mahiza,akisisitiza jambo kwa washiriki wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini uliofanyika leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma.

MSAJILI wa Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini (NGO), Vickness Mayao,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini uliofanyika leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu (THRDC),Onesmo Olengurumwa,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini uliofanyika leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma.

MRAJISI wa asasi zisizo za kiserikali Zanzibar, Ahmed Khalid Abdalla,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini uliofanyika leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma.

MKUU wa Dawati la Wanachama THRDC Lisa Kagaruki,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini uliofanyika leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali (NACONGO) Bi.Lilian Badi ,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini uliofanyika leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Mwenyekiti  wa Bodi ya Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali nchini Mwantumu Mahiza (hayupo pichani)  wakati akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini uliofanyika leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Bodi ya Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali nchini Mwantumu Mahiza,akiwa katika picha ya pamoja na washiriki mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa mashirikika yasiyokuwa ya kiserikali nchini uliofanyika leo Octoba 2,2022 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna