marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

milanobet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

Featured Kitaifa

NIC YAJIVUNIA MAMBO MATATU

Written by Alex Sonna

Mkuu wa kitengo cha uhusiano kutoka Shirika la Bima la Taifa (NIC) ,Karim Meshack,akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la NIC mara baada ya kushiriki Mkutano Mkuu Chama cha Mawakili wa Serikali pamoja na uzinduzi wa mfumo,Nembo na Chama cha Mawakili wa Serikali unaofanyika jijini Dodoma.

………………………………

Na Alex Sonna-DODOMA

SHIRIKA la Bima la Taifa (NIC) limewaomba watanzania kujiunga na bima mbalimbali wanazozitoa huku likidai fedha zipo kwani katika  katika kipindi cha miaka minne limeweza kuingiza shilingi bilioni 72.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Septemba 29 2022,kwenye banda la NIC wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali Mkuu wa kitengo cha uhusiano kutoka Shirika hilo,Karim Meshack amesema NIC  wamekuwa wakitoa huduma za bima za mali,ajali na maisha.

Amesema mwanzo shirika hilo lilikuwa haliwezi kujiendesha kibiashara  lakini kwa miaka minne mfuluilizo limekuwa likijiendesha kifaida

Ametolea mfano kwa miaka minne mfululizo wameweza  kutengeza faida ya zaidi ya shilingi bilioni 72.

Amesema sababu ya kuingiza kiasi hicho cha fedha ni kutokana na kufanya mapinduzi katika maeneo matatu ambayo ni kwenye raslimali watu,ubunifu na kujiendesha kidigitali.

“Tulianza na rasiliamli watu kwa kutafuta wataalamu ikiwa ni pamoja na Mkurugenzi Mtendaji ni kijana mwenye jicho la kibiashara.Mwanzo Shirika lilikuwa linafanya kazi kama mashirika  mengine pamoja na kupata vijana wenye weledi wa kufanya biashara

“Pia eneo lingine ni kwenye mifumo, Shirika linaendeshwa kwa mifumo ya kidigital sasa hivi hauwezi kukutana na karatasi shughuli zote zinafanyika katika system na tunafanya kazi kwa wateja kwa haraka.

“Sasa tuna mtandao mkubwa tupo katika kila eneo na unaweza kupata huduma ukiwa nyumbani umelala ukiwa nyumbnani kwako cha msingi uwe na hela.

“Eneo la tatu ni ubunifu mfano tuna mafao mengi ikiwa ni pamoja na kufiwa .Haina maana itaenda  kuchukua zile fedha na ukifika wakati wa kupata mafao unapata vilevile,”amesema Meshack.

Bw.Meshack, amewashauri watanzania  kwenda kwenye Shirika hilo kwa sababu watalipwa kwa wakati, shirika lina fedha za kutosha na anaweza kulipwa ndani ya siku 7.

Kuhusu kushiriki mkutano wa Mawakili Meshack alisema : “Tupo hapa hili ni Shirika la watanzania na lipo kwa ajili ya kusapoti jitihada za Serikali kwenye miradi ya  maendeleo ili Shirika lirudishe kwa jamii.

“Hawa mawakili ni wateja wetu na sio mawakili tu tunawashauri watu waje mfano Bima ya nyumba, nyumba ya milioni 100 ukiikatia bima unalipia 177 tu.Majanga hakuna mtu ambaye anayatabiri tunaitaji sapoiti ya watanzania,”amesema Bw.Meshack

About the author

Alex Sonna