Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATAKA NGUVU ZAIDI UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua  Kongamano la Sita la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma,

………………

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewçataka wadau wote wa uwezeshaji wananchi kiuchumi waongeze nguvu katika kutoa huduma za uwezeshaji hasa maeneo ya pembezoni ya miji na vijijini ili kufikia malengo ya nchi katika kukuza uchumi na kupunguza umaskini.

Ametoa wito hio leo (Jumatatu, Septemba 19, 2022) wakati akifungua kongamano la sita la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, lililofanyika katika ukumbi wa PSSSF, Jijini Dodoma.

“Pamoja na wito huo, Mikoa ambayo imeanzisha vituo vya uwezeshaji iendelee kuboresha miundombinu ili vituo hivyo vikidhi ubora na viwango katika kutoa huduma za uwezeshaji”

Amesema kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan madarani Serikali imeendeleza azma yake ya kuwawezesha wananchi ikiwemo utoaji wa mikopo yenye masharti nafuu.

“Katika mwaka 2021/22, Serikali kupitia mifuko na programu mbalimbali za uwezeshaji wananchi kiuchumi iliwezesha  utoaji wa mikopo ya masharti nafuu yenye thamani ya shilingi bilioni 903 kwa wanufaika wapatao milioni 5.9 nchi nzima”.

Ameongeza kuwa katika mwaka 2021/2022 jumla ya watanzania 72,395 walipata ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutokana na ushiriki wao kwenye miradi ya kimkakati na uwekezaji (Local Content). “Aidha, miradi ya kimkakati ilitoa kandarasi ndogo kwa kuingia mikataba na kampuni 2,019 za Watanzania kwa huduma mbalimbali.”

Pia, Mheshimiwa Majaliwa amezitaka taasisi za fedha, mifuko na program za uwezeshaji zihakikishe zinapunguza riba za mikopo hadi kufikia kiwango cha tarakimu moja ili kukuza biashara na kuchochea uchumi.

Kadhaluka, Waziri Mkuu amezitaka taasisi hizo ziendelee kufanya maboresho ya huduma na kuwahamasisha wananchi wa kawaida waweze kuzifikia huduma wanazozitoa. “Baadhi ya maeneo mabenki yamezungukwa na shughuli za wajasirimali lakini sehemu kubwa hawana akaunti wala hawahudumiwi na taasisi hizo.”

Naye, Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka na kuimarisha miundombinu ya uwezeshaji wananchi kiuchumi ili kuwawezesha Watanzania kushiriki kikamilifu na shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Ameongeza kuwa kupitia ruzuku zinazotolewa na Serikali wananchi wanapaswa kuona namna ya kuwekeza ili baadae waweze kuwasaidia Watanzania wengine kupitia  faida aliyoipata. “ Tuzitumie ruzuku hizi ili kuhakikisha tunalivusha Taifa letu na kuondokana na umasikini.”

Kwa upande wake, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Beng’i Issa amesema kuwa baraza hilo limefanikiwa kuanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi 18 katika mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga, Geita, Rukwa na Kigoma.

“Vituo hivi kwa mwaka wa fedha 2021/22 vimeweza kuhudumia Watanzania 11,799, ambapo wanawake walikuwa 6,157 (52%) na wanaume 5,642 (48%) na jumla ya mikopo ya shilingi bilioni 28 imetolewa katika vituo hivyo ikiwa ni ongezeko la asilimia 14 kutoka kwenye mikopo iliyotolewa kwa mwaka 2020/2021 na jumla ya biashara 15,860 zimeweza kurasimishwa katika vituo hivi, hii ni utekelezaji wa maelekezo uliyotoa mwaka 2018”

Kaulimbiu ya Kongamano hilo ni Uwezeshaji Wananchi katika Uwekezaji ambayo inalenga kutambua jitihada za Serikali ya awamu ya sita katika kuimarisha sekta binafsi na kuhakikisha kunakuwa na mazingira bora kwa Watanzania kuwekeza na kunufaika na uwekezaji unaofanyika nchini.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua  Kongamano la Sita la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma,

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Sita la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua kongamano hilo kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha nakala za Taarifa ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya mwaka 2004 kwa mwaka 2021/2022 baada ya kuizindua kwenye Kongamano la Sita la  Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi alilolifungua kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Septemba 19, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna