Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

jojobet güncel giriş

poker

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir giriş

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

madridbet giriş

meritking

Milanobet

casibom giriş

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

meritking giriş

bets10

casibom güncel giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet

meritking

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino sites

Hacklink Panel

radissonbet

vdcasino

bets10 giriş

jojobet giriş

nerobet

cratosroyalbet

jojobet güncel giriş

meritking giriş

cratosroyalbet giriş

Meritking

jojobet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

tarafbet

kingroyal

perabet

pulibet

trust score weak 3

padisahbet

ikimisli giriş

tipobet

meritking

cratosroyalbet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet adres

marsbahis giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

caddebet, caddebet giriş

lunabet, lunabet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

Google

primebahis

primebahis

marsbahis

sweet bonanza siteleri

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom giriş

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza oyna

deneme bonusu

esbet

casinoroyal

holiganbet

1win

tambet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

casibom

jojobet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

meritking

marsbahis

jojobet giris

jojobet telegram

holiganbet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giriş

betpuan

Hacklink panel

jojobet

marsbahis

Google

jojobet

meritking

jojobet giriş

holiganbet giriş

jojobet telegram

casibom giriş

jojobet giriş

casibom giriş

casibom güncel giriş

jojobet giriş

matbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

mavibet giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

timebet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

sweet bonanza

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

cratosroyalbet

piabellacasino

robinbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

interbahis, interbahis giriş

yakabet

jojobet

jojobet giris

jojobet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

holiganbet güncel giriş

casibom güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

marsbahis

jojobet adres

jojobet adres

jojobet

holiganbet giriş

holiganbet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet giris

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet giris

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet adres

jojobet güncel giriş

goldenbahis

gizabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

kulisbet

deneme bonusu

jojobet giriş

betsalavador

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Featured Kitaifa

KINANA AWAKUMBUSHA VIGOGO CCM KUJITAMBULISHA KATIKA KATA, TAWI

Written by Alex Sonna

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu, Abdulrahman Kinana akizungumza k katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Msasani pamoja na viongozi wa Chama Tawi la Masaki, jijini Dar es Salaam alipokwenda kujitambulisha na kuwatambua viongozi wake katika ngazi hiyo. 

………………………………

Na Mwandishi Wetu,

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewahamasisha viongozi wa Chama hicho kwa ngazi mbalimbali kujenga utamaduni wa kuwatembelea na kuwatambua viongozi wa Shina, Tawi na Kata pamoja  na kushiriki vikao vya Chama kwenye ngazi hizo.

Kinana aliyasema hayo leo alipokwenda kujitambulisha kwa viongozi wa CCM Tawi la Masaki pamoja na viongozi wa Kata ya Msasani jijini Dar es Salaam waliochaguliwa hivi karibuni kupitia Uchaguzi wa ndani ya Chama unaondelea.

“Nimekuja kuwapongeza, kuwatambua na kujitambulisha kwa viongozi mliochaguliwa katika uchaguzi huu unaondelea ndani ya Chama chetu. Na nawahimiza viongozi wote kwenda kwenye matawi yao, mabalozi wao, kwenye kata zao ili wajulikane na washirikiane na matawi yao na viongozi wa matawi na kata. Tunataka viongozi watambue viongozi wanaowaongoza,” alisema Kinana.

Alifafanua yeye ni mwanachama wa Tawi na Kata hiyo, hivyo anawajibu wa kuwajua viongozi wake kwa sababu kila kiongozi anaye kiongozi mwingine anayemuongoza.

“Nimekuja kutambua viongozi wangu, kwa sababu kila kiongozi ana kiongozi wake anayemuongoza. Makamu Mwenyekiti ana viongozi wake. Unajua kuna watu wanaweza kufikiri Makamu Mwenyekiti hana kiongozi au Mwenyekiti wetu Taifa hana kiongozi, Mwenyekiti wa Taifa ana tawi lake, ana balozi wake.

“Leo hii nimeamua kujitambulisha na kuwatambua viongozi wa tawi na kata, siku nyingine rasmi nitapanga kwenda kuonana na wanachama wenzangu na kwenda kutambua balozi wangu,” alisema Kinana alipokuwa akijitambulisha, mimi ni mwanachama wa Kata hii nina wajibu wa kuwajua viongozi wangu.

“Nilikuwa nawaambia wenzenu pale kwenye tawi kwamba CCM imesimama kwenye miguu miwili, mguu wa kwanza ni wanachama, msingekuwa hapa bila wanachama, msingekuwa kwenye uongozi wa nchi bila wanachama, tusingepewa ridhaa ya kuongoza nchi hii bila wanachama, kwa hiyo wenye dhamana kubwa wanachama wenu, wanastahili heshima zote na kuthaminiwa,” alisema.

Aliongeza kuwa, wanachama ndio waliochagua viongozi wote na kwamba hata yeye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti inatokana na wanachama, uenyekiti wa mwenyekiti unatokana na wanachama, hivyo msingi wote wa uongozi unatokana na wanachama.

“Na ningependa kusisitiza viongozi kila wakati tukumbuke wanachama wetu, kuna hatari unapokuwa kiongozi unapoona nafasi uliyonayo umeipata kwa akili yako, busara zako na kwa uwezo wako na maarifa yako sio kweli. Unaweza kuwa na sifa zote lakini wanachama wakisema hapana huwezi kuwa kiongozi, kwa hiyo wakati wote tutambue thamani ya wanachama wetu.

“Chama hiki msingi wake ni wanachama, ndio maana nimeona umuhimu siku ya leo kabla sijaenda ofisini kwangu nitenge muda wa kuwatambua viongozi wangu wa tawi, viongozi wangu wa Kata ili tutakapokutana mahala popote tufahamiane,” alisema.

Akifafanua zaidi Kinana alisema kuwa Chama Cha Mapinduzi kimesimama kwenye miguu miwili ambayo ni wanachama na Katiba.

“Viongozi wanatokana na wanachama kwa hiyo lazima tuwaheshimu, tuwatukuze na tuwafuate. Kwa bahati mbaya siku hizi kumekuwa na utamaduni wa viongozi wa CCM wanaitwa mheshimiwa, lakini ukweli sisi wote ni ndugu. Ndugu Mwenyekiti na ndugu Rais, lakini imefika hatua hata balozi anaitwa Mheshimiwa Balozi, ukiitwa mheshimiwa unakuwa mbali na watu na ukiwa ndugu unakuwa karibu na watu.”

Aidha, Kinana alisema nguvu ya pili ya Chama inatokana na Katiba huku akifafanua pamoja na uwepo wa katiba nzuri bado wanachama wanayo nafasi kubwa.

“Nguvu ya CCM ni wanachama, nguvu ya CCM ni Katiba lakini pamoja na hayo viongozi wametokana na wanachama na Katiba inatokana na wanachama. Hivyo kikubwa ambacho kimenileta tawi la CCM Masaki ni kujitambulisha. Niwatambue na mimi wanitambue…uanachama wangu hauna tofauti na mwanachama mwengine,” alisema.

Kinana aliwakumbusha viongozi wa Kata ya Msasani kumwandikia barua zinazohusu vikao vya kata na kuahidi atashiriki na iwapo atakuwa na udhuru atatoa taarifa.”Mkiandika barua ya kunihitaji kwenye vikao vya Chama chetu ngazi ya tawi, kata nitakuja.”

Wakati huo huo Kinana aliwapongeza wanachama wa CCM wa kata hiyo kwa kuchagua viongozi kupitia uchaguzi wa ndani uliomalizika hivi karibuni ambapo ametumia nafasi hiyo kuwahimiza wana CCM kujenga umoja na mshikamano kwani wakifanya hivyo Chama kitaendelea kuaminika na kupewa nafasi ya kuongoza.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu, Abdulrahman Kinana Akisalimiana na Baadhi ya Wajumbe wa CCM Tawi la Masaki alipokwenda kujitambulisha kwa viongozi wa CCM Tawi la Masaki pamoja na viongozi wa Kata ya Msasani jijini Dar es Salaam waliochaguliwa hivi karibuni kupitia Uchaguzi wa ndani ya Chama unaondelea.

Mwenyekiti wa Tawi la masaki Ndugu, Rafael Kamana akizungumza na wajumbe wa Halmashauri kuu ya Tawi la Masaki jijini Dar es Salaam waliochaguliwa hivi karibuni kupitia Uchaguzi wa ndani ya Chama unaondelea.akizungumza 

 

Mwanachama wa kata ya Msasani akizungumza 

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Msasani Ndugu Nyerere Mnyupe akizungumza katika  kikao cha Halmashauri kuu Ya Kata hiyo.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu, Abdulrahman Kinana akizungumza k katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Msasani pamoja na viongozi wa Chama Tawi la Masaki, jijini Dar es Salaam alipokwenda kujitambulisha na kuwatambua viongozi wake katika ngazi hiyo. (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM)

About the author

Alex Sonna