Featured Kimataifa

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI NAIROBI KWA AJILI YA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MTEULE WA KENYA DKT.RUTO

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Kenya Mhe. William Samoei Ruto 

About the author

mzalendoeditor