Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA ENEO LA INYALA MKOANI MBEYA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitazama eneo lililotokea ajali na kusababisha vifo vya watu 19 na kujeruhi 25 mnamo Agosti 16, 2022  na ajali iliotokea tarehe 7 Septemba na kusababisha vifo vya watu 6 katika Kijiji cha Shamwengo kata ya Inyala mkoani Mbeya wakati alipotembelea eneo hilo

………………………………..

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ameiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhakikisha inakamilisha haraka barabara ya mchepuko katika eneo la Mlima wa Inyala Kijiji cha Shamwengo mkoani Mbeya ili kupunguza matukio ya ajali yanayojitokeza mara kwa mara katika eneo hilo.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati alipotembelea eneo la Inyala mahali zilipotokea ajali mbili hivi karibuni ka kusababisha vifo vya watu wapatao 25. Amesema Barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 2.5 inapaswa kujengwa kiwango cha lami haraka kama suluhisho la muda mfupi litakarorahisisha upishanaji wa magari katika eneo hilo na kukabiliana na changamoto za ajali za mara kwa mara.

Halikadhali Makamu wa Rais amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Urich Matei kuhakikisha anasimamia ukaguzi wa magari yanayopita katika eneo la mlima wa Inyala ili kuepusha madhara ya ajali zinazojitokeza kutokana na ubovu wa magari hayo.

Aidha Makamu wa Rais ametoa siku kumi kwa Tanroads Mkoa wa Mbeya kuhakikisha wanamaliza ujenzi wa miundombinu ya ukaguzi wa magari inayoendelea kujengwa katika eneo hilo ambalo linakabiliwa na changamoto za ajali mara kwa mara.

Makamu wa Rais amesema serikali inasikitishwa na madhara ya ajali yanayojitokeza katika maeneo mbalimbali na kuwataka wahusika wakiwemo jeshi la polisi kutimiza wajibu wao kwa kuchukua hatua za kudhibiti ajali hizo zinazogharimu Maisha ya watu. Amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuboresha miundombinu ikiwemo upanuzi wa barabara inayopita mkoani Mbeya kuanzia Igawa hadi Tunduma mkoani Songwe.

Katika hatua nyingine, Makamu wa Rais amewasalimu wananchi wa Kijiji cha Shamwengo kilichopo kata ya Inyala ambapo amesema serikali itakamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji hicho ulioanza kujengwa na wananchi kwa kutoa shilingi milioni 100 za umaliziaji pamoja na kuchimba kisima katika eneo hilo ili kusaidia upatikanaji wa huduma za maji.

Makamu wa Rais amewapongeza wananchi hao kwa jitihada zao za kuanzisha mradi huo pamoja na moyo wao wa kujitolea katika kusaidia majeruhi wa ajali zinazotokea katika eneo hilo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitazama eneo lililotokea ajali na kusababisha vifo vya watu 19 na kujeruhi 25 mnamo Agosti 16, 2022  na ajali iliotokea tarehe 7 Septemba na kusababisha vifo vya watu 6 katika Kijiji cha Shamwengo kata ya Inyala mkoani Mbeya wakati alipotembelea eneo hilo leo leo tarehe 11 Septemba 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera (Kushoto) na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya Urich Matei (Kulia) namna ya kuchukua hatua za haraka katika kukabiliana na ajali za mara kwa mara katika mlima wa Inyala mkoani Mbeya wakati alipotembelea eneo hilo leo tarehe 11 Septemba 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Meneja wa Kitengo cha Usalama Barabarani wa TANROADS Makao Makuu George Daffa (aliyevaa reflector) juu ya ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu ya ukaguzi wa magari katika eneo la Inyala mkoani Mbeya wakati walipotembelea eneo hilo leo tarehe 11 Septemba 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiongozana na wananchi wa Kijiji cha Shamwengo kwenda kutembelea Zahanati ya Kijiji hicho inayojengwa na wananchi kata ya Inyala Mkoani Mbeya leo tarehe 11 Septemba 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitembelea na kujionea Zahanati inayojengwa na wananchi wa Kijiji cha Shamwengo kata ya Inyala mkoani Mbeya leo tarehe 11 Septemba 2022.

About the author

Alex Sonna