Featured Kitaifa

WAZIRI DKT. STERGOMENA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA SIASA WILAYA

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ni miongoni mwa viongozi walioshiriki Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Magu.

Kikao hicho ngazi ya Wilaya kimefanyika leo tarehe 11 Septemba, 2022 katika Ofisi ya CCM Wilaya
Viongozi wengine Walioshiriki Kikao hicho ni pamoja na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja (Mb.), Mbunge wa jimbo la Magu Mhe. Boniventure Kiswaga, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mhe. Mpandalume Simon, Katibu wa CCM Wilaya ya Magu Bi. Moza Ally, pamoja na Wajumbe wengine.

About the author

mzalendoeditor