Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

MWONGOZO WA KITAIFA WA UANZISHAJI MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI WAZINDULIWA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.

……………………..

Na WMJJWM Pwani

Serikali imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wenye lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wa majukwaa haya ikiwa ni pamoja na kuyafanya yajulikane ngazi zote hapa nchini.

Akizungumza katika Uzinduzi wa Mwongozo huo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt Dorothy Gwajima ameitaka jamii kuelimisha Wanawake waone umuhimu wa kujiunga na majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi kuanzia ngazi ya kijiji/Mtaa, Kata, Wilaya hadi Taifa, ili yawawezeshe kupata sehemu ya kujadili mambo yao kuhusu ujasiriamali na biashara kwa ujumla.

Pia amezitaka Halmashauri za Wilaya/Manispaa na Majiji ziendelee kutenga Fedha za ndani ili kuwawezesha Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu kukopa na hatimaye kuweza kujiendeleza kiuchumi.

Ametoa rai kwa Wanufaika wa Mikopo ya Asilimia 10 na mikopo ya Maendeleo ya Wanawake (WDF) inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii wahakikishe wanarejesha mikopo hiyo kwa wakati ili iwanufaishe wengine kupata mikopo mapema.

Vilevile Waziri Dkt. Gwajima ameitaka jamii kutoa fursa sawa kwa Wanawake na wanaume kushiriki nafasi za uongozi na maamuzi katika ngazi ya jamii na kuwa sehemu ya maamuzi kwa ustawi wa jamii na Taifa letu.

“Wanawake na wanaume tuzidi kuungana kupinga ukatili wa kijinsia na kwa watoto kwa kusimamia kurithisha misingi ya maadili mema kwa vizazi vyetu kwani ukatili ni adui wa maendeleo ya kiuchumi.” alisema Waziri Dkt Gwajima

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Sarah Msafiri amesema kuwa, kupitia Mwongozo huo Mkoa wa Pwani umeanzisha Kampuni ya Go Mama PLC inayofanya shughuli zake ndani ya Mkoa.

Akieleza kuhusu Mwongozo huo Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt Zainab Chaula amesema Wizara iliona umuhimu wa kuwa na Mwongozo wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi ili kuwa na ufanisi katika ushiriki wao hususani kwenye shughuli za maendeleo zitakazosaidia kuwakwamua kiuchumi.

Akitoa salamu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka Zanzibar Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mariam amesema Wizara itasimamia utekelezwaji wa Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi ili kuwawezesha Wanawake hasa wajasirimali kujikwamua kiuchumi kupitia shughuli zao mbalimbali.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wafanyabiashara (TWCC) Mwajuma Hamza amesema Chama hicho kimefarijika kuona kuwa Serikali imejipanga ili kuhakikisha inawezesha Wanawake hasa katika kuwakwamua kiuchumi kwa kuweka Miongozo itakayo saidia kuratibu uanzishwaji na Uendeshaji wa Majukwaa hao.

Akizungumza katika uzinduzi wa Mwongozo huo Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bein’g Issa amesema Baraza lao limeweka mikakati mbalimbali yani kuwezesha Wanawake Kiuchumi kwa kushirikiana na Wizara walitarubu uanzishwaji wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kwa ngazi za Vijiji/ Mitaa, Kata, Wilaya na Mkoa.

Ameongeza kuwa uanzishwaji wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi umesaidia kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wanawake wajasirimali jumala ya Majukwaa 26 yameamzishwa katika Mikoa ya Tanzania Bara, Majukwaa 151 katika Halmashauri, Majukwaa 1354 ngazi ya Kata na Majukwaa 1859 katika ngazi ya vijijini/ Mitaa.

“Katika haya yote Mikoa mingi imefanya ubunifu ikiwemo kuanzishwa kwa makampuni, vikundi vya wajasirimali ambapo imesaidia kuwawezesha kiuchumi Wanawake hasa wajasirimali” alisema Bi. Bein’g.

Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wanawake Mkoa wa Pwani Mariam Ulega ameishukuru Serikali kwa jitihada zake za kuhakikisha inaweka mifumo mizuri ya kuwawezesha Wanawake hasa wajasirimali kupata fursa za kuanzisha biashara na kupata masoko ya bidhaa zao kwa ustawi na maendeleo ya familia na taifa.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza katika uzinduzi wa Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi uliofanyika Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akizungumza wakati hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi uliofanyika Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.

KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Pwani ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Sarah Msafiri,akizungumza wakati hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi uliofanyika Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mariam akitoa Salam za Wizara hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi wa mwongozo wa Kitaifa wa uwezeshaji Wanawake kiuchumi Mkoani Pwani tarehe 11/09/2022.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akikabidhi Kitabu cha Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kwa Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Pwani Rachel Chuwa kwa niaba ya Maafisa Maendeleo ya Jamii nchini mara baada ya uzinduzi wa Mwongozo huo uliofanyika Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akikabidhi Kitabu cha Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kwa Kaimu Mkuu Mkoa wa Pwani ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Sarah Msafiri mara baada ya uzinduzi wa Mwongozo huo uliofanyika Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akikabidhi Kitabu cha Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mariam Juma Abdallah niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mara baada ya uzinduzi wa Mwongozo huo uliofanyika Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi uliofanyika Wilayani Kibaha Mkoani Pwani.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

About the author

Alex Sonna