slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bos

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

casibom giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

casibom

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet

bets10 giriş

slot siteleri

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

matbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

radissonbet

sekabet

grandpashabet

matbet

jetbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

KAMATI YA USEMI YAIPONGEZA SERIKALI KUFADHILI MASOMO YA ELIMU YA JUU KWA VIJANA WANAOTOKA FAMILIA MASKINI ZA WALENGWA WA TASAF

Written by Alex Sonna

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo akiongoza kikao kazi cha kamati yake jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

………………………………….

Na. James K. Mwanamyoto-Dodoma

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo ameipongeza Serikali kwa kutoa ufadhili wa masomo ya elimu ya juu kwa vijana wanaotoka katika familia maskini ambazo ni walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini ambao unaroatibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

Mhe. Chaurembo amesema, ufadhili huo unawawezesha vijana wanaotoka katika kaya maskini kupata elimu sawa na vijana wengine wanaotoka katika familia zinazojiweza kiuchumi.

Mhe. Chaurembo ameongeza kuwa, ufadhili huo unaotolewa na serikali kupitia TASAF licha ya kuzinufaisha kaya maskini, pia unaisaidia Serikali ya Awamu ya Sita kutimiza lengo lake la kuwapatia elimu bora watanzania wote bila kujali tofauti za kiuchumi walizonazo.

Akizungumzia ufadhili huo unaotolewa na serikali, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama, amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kutoa ufadhili wa masomo ya elimu ya juu kwa vijana wanaotoka kaya maskini ambazo ni walengwa wa TASAF.

“Tuna mkataba na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu unaowawezesha vijana wote waliopata ufaulu mzuri wa kidato cha sita kupata ufadhili wa masomo ya elimu ya juu, na Mhe. Rais analifuatilia sana suala hili ili kusitokee yeyote aliyekidhi vigezo akakosa ufadhili,” Mhe. Jenista amesisitiza.

Mhe. Jenista amesema, serikali inaamini kuwa vijana watakaopata ufadhili huo wa masomo ya elimu ya juu na kufanikiwa kuhitimu, watapata fursa ya kuajiriwa serikalini au kwenye sekta binafsi, hivyo watatoa mchango katika maendeleo ya taifa.

“Tunatarajia vijana hao wakihitimu ndio watakuwa watumishi wenye uadilifu na bidii ya kazi itakayosaidia kujenga uchumi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi,” Mhe. Jenista amefafanua.

Kwa upande wake, Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala amesema amekuwa akipewa orodha ya vijana wanaoshindwa kumudu gharama za masomo ya elimu ya juu, hivyo ameomba awe anaiwasilisha orodha hiyo TASAF ili ijiridhishe kama vijana hao ni miongoni wa walengwa wanaostahili kupatiwa ufadhili.

“Mimi sina uwezo wa kufanya uchunguzi na kubaini kama vijana hao kweli wanatoka katika familia maskini au wanadanganya, japo wapo baadhi ya wakuu wa vyuo huniarifu kuwa vijana hao hawana uwezo wa kumudu gharama za masomo, hivyo naomba TASAF mshirikiane nami kuwawezesha wenye sifa stahiki kupata ufadhili,” Mhe. Ntala amesisitiza.

Akitoa ufafanuzi wa ombi la Mhe. Tea Ntala, Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. Ladislaus Mwamanga amesema, wanafunzi wa vyuo vikuu wanaofadhiliwa na TASAF ni wale wanaokidhi kigezo cha kutoka katika kaya maskini, hivyo TASAF iko tayari kuwawezesha vijana hao iwapo itajiridhisha kuwa wanaotoka katika kaya maskini ambao ndio walengwa wa TASAF.

Bw. Mwamanga ameeleza kuwa, TASAF ina utaratibu mzuri wa kushirikiana na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu tangu mwaka 2017, utaratibu ambao umewezesha kutoa ufadhili wa masomo kwa vijana wengi wa vyuo vikuu wanaotoka katika familia maskini.

“Mwaka 2017 TASAF tuliwawezesha wanafunzi 277, mwaka 2018 na 2019 tuliwawezesha pia kupata mikopo, mwaka 2020 tuliwawezesha wanafunzi 872, mwaka 2021 tumewawezesha 1200 na kwa mwaka huu tuko kwenye hatua za mwisho kuwawezesha kupata mikopo,” Bw. Mwamanga amefafanua.

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) umekuwa ni mkombozi wa kaya maskini nchini, licha ya kuziwezesha kaya hizo kiuchumi pia umetoa mchango mkubwa katika kuboresha huduma za kijamii katika sekta za elimu, afya, maji na miundombinu ya barabara.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo akiongoza kikao kazi cha kamati yake jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifafanua hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha Vyuo Vikuu, Mhe. Dkt. Tea Ntala akichangia hoja wakati wa kikao cha kamati hiyo jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Kusini Unguja (CCM) Mhe. Mwantumu Dau Haji akichangia hoja wakati wa kikao cha kamati hiyo jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. Ladislaus Mwamanga akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi yake kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

About the author

Alex Sonna