Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

holiganbet

jojobet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

vaycasino giriş

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

casino siteleri

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

Featured Kitaifa

WAZIRI GWAJIMA:’WAZAZI,WALEZI KUWAJIBISHWA KISHERIA SUALA LA WATOTO WA MITAANI’

Written by Alex Sonna

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akifungua Mkutano wa wadau wa Huduma za Ustawi wa Jamii nchini unaofanyika Jijini Dar Es Salaam tarehe 06-07/09/2022.

………………….

Wazazi na walezi wametakiwa kuhakikisha wanawajibika katika suala la Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto kwa kuhakikisha kuwa Mtoto anatunzwa na kulinda ili kumuepusha na mazingira hatarishi yatakayopelekea kufanyiwa vitendo vya ukatili vinginevyo watawajibishwa kisheria.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima wakati akifungua Mkutano wa wadau wa Huduma za Ustawi wa Jamii nchini unaofanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 06-07, Septemba, 2022 Mkoani Dar es salaam.

Waziri Gwajima amesema kuanzia sasa kila mtoto anayeishi na kufanya kazi mitaani atakayerudishwa nyumbani, mzazi au mlezi ahakikishe ametoa taarifa kupotea kwa mtoto wake akiwa na namba ya Taarifa ya Polisi (RB Number) aliyotoa taarifa siku aliyopotelewa na mtoto wake kinyume na hapo hatua za kisheria zitachukuliwa kwa uzembe na kutowajibika katika malezi.

“Kifungu cha 8 na 9 cha Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009, kinampa majukumu mzazi na mlezi kuwajibika katika matunzo, malezi na ulinzi kwa mtoto hivyo kifungo hicho kinatoa adhabu ya shilingi milioni tano (5) au kifungo cha miezi isiyozidi sita au vyote kwa pamoja kwa mzazi/mlezi atakayekiuka sheria hii” amesema Mhe. Dkt. Gwajima.

Aidha, Waziri Dkt. Gwajima ameliomba Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Mahakama, kuchukua hatua kali dhidi ya Wazazi na Walezi wote watakaothibitika kisheria kukiuka kanuni hizo za maadili ya malezi ya watoto na usafirishaji wa watoto.

“Ieleweke kwamba watoto wa leo ndiyo wazazi wa kesho, hivyo tusipowajibika sasa, tutakuwa na Taifa la wananchi wasiowajibika hapo baadaye” amesisitiza Waziri Dkt. Gwajima.

Amewaelekeza pia Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri kusimamia kikamilifu ufuatiliaji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi na Maafisa kazi kama ilivyoelezwa katika Kifungu cha 20 na kifungu cha 86 cha Sheria ya Mtoto ili kuondoka na tatizo la Watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani.

Akizungumza katika kikao hicho, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe. Amos Makala amesema Maafisa Ustawi wa Jamii hivi sasa wanatakiwa kufanya kazi za msingi za taaluma yao kwa sababu taaluma hiyo ndiyo msingi wa Taifa katika kumjengea na kumlinda mtoto katika ukuaji wake ili kuwa na jamii yenye kujitambua na kuwajibika kwa vizazi vijavyo.

Mhe. Makala amesema yupo tayari kushirikiana na Wizara katika kutatua changamoto ya Makundi Maalum hasa watoto wanaoishi mazingira hatarishi kwa kuweka mipango na mikakati itayosaidia kupunguza kama sio kumaliza kabisa tatizo hilo.

“Tumejipanga na tuliahidi tutatafuta eneo Kigamboni kwa ajili ya kuwekeza katika miradi ya kuwawezesha kiuchumi Makundi Maalum” amesema Mhe. Makala.

Naye Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula amesema watoto wana wazazi wao lakini inasikitisha kuona wanakumbana na mazingira magumu mitaani kwani Mitaa Haina Watoto hivyo Jamii inatakiwa kuwajibika katika kuwalea na kuwalinda Watoto wasipatwe na vitendo vya ukatili katika ukuaji wao.

Dkt. Chaula amesema kazi ya Serikali ni kutengeneza Sera, Kanuni na Miongozo hivyo, ni wajibu wa wadau wote kushirikiana kutekeleza ili kuweza kufanikisha suala la Malezi Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto limazingatiwa na kupewa kipaumbele katika jamii.

“Wizara inafanya kazi kubwa kuhakikisha wananchi wote wanakuwa na ustawi tunawekeza katika uchumi wa watu hawa namna gani tutakusanya rasilimali fedha kuyasaidia Makundi yote yaweze kujitegemea kiuchumi” amesema Dkt. Chaula.

Meneja mradi wa ACHIEVE Levina amesema kama wadau wanazingatia miongozo inayowekwa na Serikali katika utekelezaji wa Masuala ya Ustawi wa Jamii na wataendelea kuhakikisha matokeo yanaonekana.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akifungua Mkutano wa wadau wa Huduma za Ustawi wa Jamii nchini unaofanyika Jijini Dar Es Salaam tarehe 06-07/09/2022.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akitoa salaam za Wizara katika Mkutano wa Wadau wa Huduma za Ustawi wa Jamii nchini unaofanyika Mkoani Dar Es Salaam tarehe 06-07/09/2022.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makala akizungumza katika Mkutano wa Wadau wa huduma za Ustawi wa Jamii nchini unaofanyika Jijini Dar Es Salaam tarehe 06-07/09/2022.

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Huduma za Ustawi wa Jamii nchini wakifuatilia hotuba na mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa Mkutano uliwakutanisha wadau hao unaofanyika Mkoani Dar es salaam tarehe 06-07/09/2022

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akizindua Mwongozo miongozo ya Huduma za Ustawi wa Jamii, wakati wa Mkutano wa Wadau wa huduma za Ustawi wa Jamii nchini unaofanyika Jijini Dar Es Salaam tarehe 06-07/09/2022.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

About the author

Alex Sonna