Featured Kimataifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA IRAN

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran  Mhe.Hossein Amir Abdollahian (wa tatu kushoto)  alipofika na Ujumbe wake  Ikulu Jijini Zanzibar  akiwa ziarani Nchini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi   Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran  Mhe.Hossein Amir Abdollahian baada ya mazungumzo yao leo  alipofika na Ujumbe wake  Ikulu Jijini Zanzibar  akiwa ziarani Nchini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  akiagana na mgeni wake    Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran  Mhe.Hossein Amir Abdollahian (kushoto) baada ya mazungumzo yao leo  alipofika na Ujumbe wake  Ikulu Jijini Zanzibar  akiwa ziarani Nchini.[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor