Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

paşacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

meritking

jojobet

grandpashabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

holiganbet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

jojobet

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA YAANZA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI-NAIBU WAZIRI MASANJA

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (kulia) akimtwisha mama ndoo kichwani kuashiria uzinduzi wa mradi wa maji kwenye Kijiji cha Butengo Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

……………………………………….

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania imeanza kumtua mama ndoo kichwani kwa vitendo kwa  kujenga mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 22 katika kijiji cha Butengo Kata ya Butengorumasa Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) alipokuwa katika hafla fupi ya uzinduzi wa mradi katika kijiji cha Butengo.

“Mwaka huu kauli mbiu ni kumtua mama ndoo kichwani hivyo TFS tumeanza kuwatua kinamama ndoo kichwani na tunawatua kwa sababu wamekuwa na mchango mzuri kwenye hifadhi hii” Mhe. Masanja amesisitiza.

Amewataka viongozi wa Kata na Vijiji kusimamia vizuri mradi huo ili ulete manufaa yaliyokusudiwa ya kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji.

“Serikali za vijiji, kata muwe makini katika kusimamia mradi huu kwa kuwa hii ni rasilimali yenu na mkiiharibu ni nyie wenyewe lakini tunatamani muitunze ili tunapoleta miradi mingine tuone faida za miradi hiyo” Mhe. Masanja ameongeza.

Aidha, amewapongeza wananchi wa Kijiji cha Butengo kwa jitihada kubwa wanazozifanya za kulinda Shamba la Miti Silayo, kwa kutunza maeneo ya hifadhi na kuwa na mahusiano mazuri na wahifadhi.

Mhe. Masanja ametoa rai kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa hifadhi nchi nzima kuiga mfano wa wananchi wa Kijiji cha Butengo ambao kwa hiari yao wamekubali kushirikiana na wahifadhi.

”Ninyi mmekuwa mabalozi wazuri wa uhifadhi na sisi kama Serikali lazima tutimize yale mtakayoyaomba” amesema.

Naye, Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe. Dkt. Merdad Kalemani amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka miradi 11 ya maji katika Jimbo la Chato ukiwemo mradi uliofadhiliwa na TFS.

Amesema uwepo wa mradi huo utapunguza changamoto ya upatikanaji wa maji kwa wananchi wa Butengo.

Kwa upande wake, Mhifadhi Mkuu Shamba la Miti Silayo, Juma Mwita amesema mradi huo uliogharimu kiasi cha shilingi milioni 22.1 unahudumia vitongoji vitatu vya Butengo Senta, Butengo na Mwenge ambapo jumla ya Kaya 180 sawa na wastani wa watu 1080 wananufaika.

Mradi huu umekuwa msaada mkubwa kwa jamii kwa kuongeza tija katika shughuli za uzalishaji kwani muda mwingi ulikuwa ukitumika kutafuta maji na umewezesha upatikanaji wa maji safi na salama.

Pia, amesema mradi huo umewezesha kupungua kwa magonjwa yatokanayo na matumizi ya maji yasiyo safi na salama kama kichocho, kuhara na kipindupindu.

Mradi wa maji wa Butengo ulianzwa kujengwa katika mwaka wa fedha 2021/2022.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Butengo baada ya kuzindua mradi wa maji katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (katikati) akizindua mradi wa maji katika Kijiji cha Butengo Wilaya ya Chato Mkoani Geita leo. Kulia kwake na Mhifadhi Mkuu wa Shamba la Miti Silayo, Juma Mwita na kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe. Dkt. Merdad Kalemani. Wengine ni viongozi wa Serikali na wahifadhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (kulia) akifurahi baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji kwenye Kijiji cha Butengo Wilaya ya Chato Mkoani Geita leo. Wengine ni viongozi wa Serikali na wahifadhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (kulia) akimtwisha mama ndoo kichwani kuashiria uzinduzi wa mradi wa maji kwenye Kijiji cha Butengo Wilaya ya Chato Mkoani Geita

Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe. Dkt.Merdad Kalemani akizungumza na wananchi kuhusu miradi ya maji iliyojengwa na Serikali jimboni kwake, wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Butengo Wilaya ya Chato Mkoani Geita

Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Butengo wakifuatilia matukio ya uzinduzi wa mradi wa maji katika kijiji hicho Wilaya ya Chato Mkoani Geita 

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (kulia) akihamasisha wananchi kutokata miti kupitia igizo la kuzuia ukataji miti lililofanywa na wananchi wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji kwenye Kijiji cha Butengo Wilaya ya Chato Mkoani Geita

Muonekano wa mradi wa maji uliojengwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wenye gharama ya takribani shilingi milioni 22 uliopo katika Kijiji cha Butengo Wilaya ya Chato Mkoani Geita .

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (kushoto) na Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe. Dkt. Merdad Kalemani (katikati)wakipiga ngoma kufurahia uzinduzi wa mradi wa maji kwenye Kijiji cha Butengo Wilaya ya Chato Mkoani Geita

 Mhifadhi Mkuu wa Shamba la Miti Silayo, Juma Mwita akisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi wa maji uliojengwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Kijiji cha Butengo Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

About the author

Alex Sonna