Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

maxwin

meritking

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

maxwin giriş

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

betsat

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

nerobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

jojobet

Featured Kitaifa

WIZARA, WADAU KUTATUA TATIZO LA WATOTO MITAANI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Dkt. Zainab Chaula akipokea kitabu cha Mkurugenzi wa Taasisi ya Azaria Foundation Audax Abeli kinachoelezea maisha yake ya mtaani  chenye lengo la kuisaidia Jamii kuwaondoa watoto katika mazingira hatarishi. Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Amon Mpanju na wajumbe wa Menejimenti ya Wizara mara baada ya kikao cha Menejimenti Jijini Dodoma.

………………………….

Na WMJJWM Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imejipanga kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha inapunguza tatizo la Watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani.
Akizungumza katika kikao naTaasisi ya Azaria Foundation jijini Dodoma Agosti 22, 2022 Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt Zainab Chaula ameitaka jamii kuwa na upendo kati ya familia na kuhakikisha watoto wanatunzwa katika familia ili wapate Malezi na Makuzi Bora katika ukuaji wao.
Dkt. Chaula amesema pamoja na kuwa mwanzilishi wa Taasisi hiyo ni zao la watoto walioishi mazingira magumu baada ya kutelekezwa na familia yake amekuwa msaada kwa watoto wengine ili wasiendelee kuishi maisha hayo.
“Familia inaposhindwa kwa namna yoyote ile, sisi Jamii tuchukue wajibu na tuungane na Wadau hawa kutatua shida hii, Wizara tumejipanga kwa kushirikiana na Wadau kutumia mbinu zote” alisema Dkt Chaula
Naye Mkurugenzi na mwanzilishi wa Taasisi ya Azaria Foundation, Audax Abeli ambaye ameishi maisha ya mtaani amesema familia yake ilikuwa chanzo cha yeye kuitwa Mtoto wa mtaani jina ambalo siyo sahihi hivyo namna bora ya kuwatoa watoto hao mtaani ni kuanzia upendo kwao.
 “Hili tatizo la watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani linatakiwa kushughulikiwa kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa, tunaweza tukapunguza watoto wa mtaani. Pia changamoto nyingine zinatokana na familia” alisema Audax.
Ameeleza kuwa mpaka sasa Taasisi hiyo inahudumia jumla ya watoto 70 kwa kuwapatia huduma muhimu za Kijamii na kuwapatia mbinu mbadala za kupambana na maisha.
Kwa upande wake Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Nandera Mhando amesema Wizara itashirikiana vyema na mdau wa Taasisi hiyo kwa kusaidiana na timu ya wataalamu inayofanya kazi ya kushughulikia watoto wanaoishi mazingira magumu na kuwatoa mtaani.
“Mojawapo ya mradi utakaozinduliwa hivi karibuni  ni mradi wa ujenzi wa kituo cha kupokea watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani na kuwapitisha katika mabadiliko ya tabia na ujuzi ili wanaporudi majumbani waweze kujiajiri” alisema Dkt. Nandera.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Dkt. Zainab Chaula akipokea kitabu cha Mkurugenzi wa Taasisi ya Azaria Foundation Audax Abeli kinachoelezea maisha yake ya mtaani  chenye lengo la kuisaidia Jamii kuwaondoa watoto katika mazingira hatarishi. Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Amon Mpanju na wajumbe wa Menejimenti ya Wizara mara baada ya kikao cha Menejimenti Jijini Dodoma 

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Dkt. Zainab Chaula akiongoza kikao cha Menejimenti ya Wizara hiyo na Taasisi ya Azaria Foundation kujadili namna ya kuwaondoa watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani, kilichofanyika Jijini Dodoma 

Mkurugenzi wa Taasisi ya Azaria Foundation Audax Abeli akieleza jambo wakati wa kikao ha Menejimenti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kujadili namna ya kuwaondoa watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani, kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 22 Agosti, 2022.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM 

About the author

Alex Sonna