marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

pusulabet

matbet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

ultrabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

tambet

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

jojobet giriş

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

enjoybet giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

Featured Kitaifa

BILIONI 17 ZATOLEWA KUBORESHA HUDUMA ZA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA

Written by Alex Sonna

Na.Majid Abdulkarim – WAF

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya imepata ufadhili wa Shilingi Bilioni 17 kutoka Mfuko wa Dunia wa Ufadhiliwa Huduma za Afya kwa ajili ya kuboresha huduma za wajawazito na watoto wachanga nchini ili kupunguza vifo vya mama na mtoto.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo mkoani Tanga katika kikao kazi na wadau wa Afya kutoka Mfuko wa Dunia wa Ufadhili wa huduma za Afya ambapo Fedha hizo zitatumika kununua vifaa vya teknolojia, kuwajengea uwezo watoa huduma za afya madaktari, wauguzi, wakunga na watalaamu mbalimbali wanao hudumia wakina mama wajawazito pamoja na watoto wachanga.

Katika vifaa hivyo mama mjamzito atavalishwa na vitaweza kusoma mapigo ya moyo ya mama mjamzito na mtoto aliyeko tumboni itasaidia kujua maendelkeo ya mtoto na mama mjamzito”, amesema Waziri Ummy

Akizungumza Mhe Ummy amesema awali mradi huo umetekelezwa katika mikoa mitano hapa nchini mbayo ni Manyara, Mwanza, Tabora ,Geita na Shinyanga katika hospoitali 150.

“Katika awamu ya kwanza mradio huu umeonyesha matokeo chanya kwa kupunguza vifoo vya mama na mtoto mchanga ambapo asilimia 25 vifo vitokanavyo na uzazi na asilimioa 50 watoto wachanga”, ameeleza Mhe Ummy

Vile vile amesema kuwa Utekelezaji wa mradi huu unatekelezwa kwa kushirikiana na hospitari ya Lutheran ya Hydom iliyopo mkoni Manyara

Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa dhamira ya Rais Mhe. Samia Suluhu Hassani ni kuokoa maisha ya watoto wachanga pamoja na mama wajawazito

Kwa upande wake Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Mama na Mtoto Dkt Ahmad Makuwani amesema lengo la utekelezaji wa mradi huo ni kuhakikisha wakinamama wajawazito na watoto wachanga wanakuwa na maisha bora hapa nchini.

“Vifo vya mama mjamzito na watoto wachanga kwa Tanzania bado nijanga kubwa hivyo bado tunakazi kubwa ya kuhakikisha tunazidi kupunguza vifo hivi nchini”, ameeleza Dkt Makuwani

Naye Mkurugenzi Mtendaji kutoka Hospiy ya Hyidom iiliyoko mkoani Manyara Dkt. Paschal Mdoeamemshuku Waziri Ummy kwa ushirikiano aloutoa kwa hospital hiyo kutekeleza mradi huo katika mikoa mitano na kuleta matokeo chanya.

About the author

Alex Sonna