slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

betgar, betgar giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

pusulabet

matbet

vdcasino giriş

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Hacklink panel

Casibom

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

pusulabet

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SKAUTI WA KIKE AFRIKA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza  na viongozi , wawakilishi wa mataifa mbalimbali ya afrika pamoja na skauti wa kike nchini Tanzania wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 13 wa Kanda ya Afrika wa Jumuiya za Skauti wa Kike (Girl Guides) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.

…………………….

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewaasa wazazi wote katika nchi za Afrika kujitahidi kufuatilia maendeleo ya Watoto shuleni pamoja na kuzungumza nao ili kuweza kutatua changamoto wanazopitia na kuwasaidia kutumia maarifa, ujuzi na vipaji walivyonavyo kwa maendeleo ya bara la Afrika.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika  Ufunguzi wa Mkutano wa 13 wa Kanda ya Afrika wa Jumuiya za Skauti wa Kike (Girl Guides) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Pia amewasihi viongozi wa dini pamoja na wale wa kimila kushirikiana na serikali katika kulea watoto kimaadili ili kuepusha vitendo viovu na visivyopendeza katika jamii.

Aidha Makamu wa Rais amesema kuporomoka kwa maadili ni jambo lenye athari mbaya katika nchi za Afrika ambalo linachangia kurudisha nyuma jitihada za maendeleo na kuondoa umasikini barani Afrika. Amesema Jumuiya hizo katika mataifa zinapaswa kushirikiana na serikali zao pamoja na wazazi husasani wakati huu wa utandawazi ili kuepusha vitendo vya mmomonyoko wa maadili.

Makamu wa Rais amezipongeza Jumuiya za “Girl Guides” barani Afrika kwa kuendelea kutetea haki za watoto wa kike na wanawake kwa ujumla, kuwajengea uwezo wa kujiamini pamoja na kutengeza viongozi wenye maadili mema waliochangia kuleta maendeleo barani Afrika. Amesema jamii inapaswa kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na jumuiya hizo ya kulea watoto katika maadili nidhamu na kumcha mungu.

Amesema serikali ya Tanzania inatambua umuhimu wa malezi bora na ustawi wa mtoto wa kike na wanawake kwa ujumla, hivyo inaendelea kutekeleza sera ya elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita kunatoa fursa sawa ya watoto wa kike na kiume kupata elimu. Amesema Tanzania inaendelea kuongeza uwekezaji katika program za elimu kwa ajili ya wasichana, mafunzo ya ufundi stadi na matumizi ya teknolojia, kumkwamua msichana na mwanamke kiuchumi kwa kuhakikisha wanashirikishwa katika maamuzi kupitia uongozi katika nyadhifa mbalimbali.

Kwa upande wake Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Doroth Gwajima amesema Wizara inaendelea katika kusimamia na kuratibu utekelezaji wa programu ya kimkakati ambayo ni ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto ambayo imelenga kumkuza mtoto katika Nyanja zote muhimu kama vile afya bora, lishe bora, ujifunzaji wa awali pamoja na ulinzi na usalama wa mtoto. Ameongeza kwamba kwa kushirikiana na wadau wengine tayari wizara inatekeleza ajenda ya taifa ya kuwekeza katika afya na maendeleo kwa vijana balehe kuanzia umri wa miaka 10 – 18 ambayo inalenga kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi, kutokomeza mimba za utotoni, kuondoa ukatili na kuimarisha stadi za Maisha.

Awali Kamishna wa Jumuiya ya Skauti wa Kike nchini Tanzania (Tanzania Girl Guides Association) Bi. Mary Richard amesema Jumuiya hiyo imeendelea kusimamia ustawi wa mabinti na wanawake kwa ujumla kwa kuwapa mafunzo yaliyo nje ya mfumo rasmi wa elimu yanayopelekea binti kujithamini , kujitambua , kujiamini pamoja na kuwa rasilimali kwa taifa.

Ameongeza kwamba Jumuiya hiyo inaendesha shughuli mbalimbali za kutoa elimu ya utunzaji mazingira, elimu ya lishe bora, elimu ya kupunguza madhara yatokanayo na matumizi ya pombe pamoja na kuendesha kampeni za wasichana kuingia kwenye taaluma za sayansi na kupinga ndoa na mimba za utotoni.

Mkutano wa Jumuiya za  Skauti wa Kike (Girl Guides) kanda ya Afrika ni mkutano wa kikatiba ambao hufanyika kila baada ya miaka mitatu. Mkutano huo unafanyika Tanzania tarehe 22 hadi 26 Agosti 2022 ukiwakutanisha wajumbe wa taasisi za guiding kutoka nchi 33 za bara la Afrika ukiwa na kauli mbiu ya “Tustawi Pamoja”.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa 13 wa Kanda ya Afrika wa Jumuiya za Skauti wa Kike (Girl Guides) leo tarehe 22 Agosti 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akivishwa Skafu na watoto wa Jumuiya ya Skauti wa Kike Tanzania (Tanzania Girl Guides) mara alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa 13 wa Kanda ya Afrika wa Jumuiya za Skauti wa kike(Girl Guides) leo tarehe 22 Agosti 2022. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza  na viongozi , wawakilishi wa mataifa mbalimbali ya afrika pamoja na skauti wa kike nchini Tanzania wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 13 wa Kanda ya Afrika wa Jumuiya za Skauti wa Kike (Girl Guides) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Tarehe 22 agosti 2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Skauti wa Kike kutoka Tanzania Girl Guides Association mara baada ya kufungua Mkutano wa 13 wa Kanda ya Afrika wa Jumuiya za Skauti wa kike unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. 

About the author

Alex Sonna