Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

SHAKA ATAKA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI KUWASHIRIKISHA VIJANA KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO

Written by Alex Sonna
Katibu wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Idara ya  Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka akikagua kikundi Cha Ngoma ya Wagogo alipowasili katika Uzinduzi wa Ujenzi Ujenzi wa Nyumba ya Mshindi wa kwanza wa Kitaifa wa Mashindano ya Bodaboda (Tanzania Royal Tour Rally -2022)
Katibu wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Idara ya  Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka akiweka Jiwe la Msingi katika Uzinduzi wa Ujenzi wa Nyumba ya Mshindi wa kwanza wa Kitaifa wa Mashindano ya Bodaboda (Tanzania Royal Tour Rally -2022) inayojengwa Iyumbu Jijini Dodoma.
Katibu wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Idara ya  Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Viongozi pamoja na Washiriki wa Mashindano ya Bodaboda (Tanzania Royal Tour Rally -2022)
Katibu wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Idara ya  Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka akiwa amebebwa Juu na Washiriki wa Mashindano ya Bodaboda (Tanzania Royal Tour Rally -2022) mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika Uzinduzi wa Ujenzi wa Nyumba ya Mshindi wa kwanza wa Kitaifa wa Mashindano hayo.
 
PICHA NA CCM MAKAO MAKUU
…………………………….
Na MWANDISHI WETU,  Dodoma
 
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa Chama na serikali kuwashirikisha vijana katika mipango ya maendeleo, kwani Rais Samia Suluhu Hassan, amewekeza nguvu kubwa kuliinua kundi hilo kiuchumi kupitia fursa mbalimbali zilizopo nchini.
 
Amesema CCM kinaamini vijana wakiwezeshwa kiuchumi wanauwezo wa kuchangia maendeleo ya taifa kwa kiwango kikubwa zaidi na ilivyokuwa sasa.
 
Shaka aliyasema hayo jijini hapa jana wakati akizundua ujenzi wa nyumba ya mshindi wa kwanza atakayepatikana katika mashindano ya mbio za waendesha bodaboda kitaifa, yanayotarajiwa kuhitimishwa Agosti 30 mwaka huu yakiwa na lengo la kuunga mkono juhudi za Rais Samia katika kutangaza fursa za utalii nchini kupitia filamu ya Royal Tour.
 
“Tanzania tunaye muongoza njia, mfungua fursa ambaye ni Rais Samia mwenye kutekeleza dhana na maono ya kuwakomboa vijana kiuchumi kupitia fursa na rasilimali zilizopo nchini, Rais Samia amefanya uwekezaji mkubwa katika kuwainua vijana.
 
Alisisitiza kuwa: “Jitihada hizi zinapaswa kuendelea kuungwa mkono kwa viongozi wa Chama na serikali kuwashirikisha vijana katika mipango ya maendeleo. Hii itasaidia kutekeleza kwa vitendo ahadi ya CCM ya kutoa ajira milioni nane kwa sekta rasmi na zisizokuwa rasmi.”
 
Katibu huyo wa NEC, Itikadi na Uenezi alieleza kuwa CCM kinaamini kwamba endapo vijana wakiwezeshwa zaidi kiuchumi, watachangia maendeleo ya taifa kwa hatua kubwa zaidi na ilivyokuwa sasa.
 
Alibainiaha kuwa  mbio hizo za waendesha bodaboda ni fursa ya kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo pamoja na waendesha vyombo hivyo vya moto kuwa mabalozi wazuri wa utalii.
 
Shaka alitumia fursa hiyo kuwahamasisha wandesha bodaboda na bajaji kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu pamoja na kuendelea kupata chanjo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya Uviko-19.
 
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Global Peace Advocacy for Conflict Resolution, Ryamoja Mfuru, alisema taasisi hiyo imeandaa mashindano hayo kuwawezesha waendesha bodaboda kubeba ujumbe wa kuhamasisha utalii nchini.
 
Alieleza kuwa mbio hizo ngazi ya wilaya zitaanza Agosti 13 mwaka huu kisha Agosti 17 zitaendelea kwa ngazi ya mkoa na kuhitimisha kitaifa Agosti 30 mwaka huu ambapo mshindi atakabidhiwa nyumba iliyopo jijini Dodoma.
 
Naye, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Pili Mbaga, alisema CCM kimekuwa na ushirikiano mzuri na Umoja wa Waendesha Pikipiki Mkoa wa Dodoma (UWAPIDO) ambapo imetoa ofisi kwa ajili ya uendeshaji shughuli za chama hicho.
 
Mwakilishi kutoka kampuni ya State Aviation, Amour Abdallah, alisema kampuni hiyo itatoa helkopta kuhamasisha tukio hilo kwani uwezeshaji vijana hususan madereva bodaboda ni msaada muhimu katika kuchangia maendeleo ya taifa.  

About the author

Alex Sonna