Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Michezo

NAIBU KATIBU MKUU MPANJU AIOMBA SIMBA KUTOA ELIMU KUPAMBANA NA VITENDO VYA UKATILI KWA JAMII

Written by Alex Sonna

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon Mpanju akizungumza wakati wa tukio la utoaji wa msaada lililofanywa na Klabu ya Simba katika Makazi ya Wazee Nunge Kigamboni Mkoani Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa Klabu ya Simba Babra Gonzalez akimkabidhi zawadi mmoja wa wazee anayehudumiwa katika Makazi ya Wazee Nunge Kigamboni Mkoani Dar Es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na mashabiki wa Klabu ya Simba mara baada ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wazee wa Makazi ya Wazee Nunge Kigamboni Mkoani Dar es Salaam.

**************************

Na WMJJWM, Dar Es Salaam

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon Mpanju ameiomba Klabu ya Mpira inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara Simba Sports Club kuungana na Serikali katika kutoa elimu kuhusu Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, Ukatili wa Kijinsia, kulinda na kuwalea wazee.

Mpanju ameyasema hayo Agosti 02, 2022 katika Makazi ya Wazee Nunge, Kigamboni Mkoani Dar Es Salaam wakati Klabu hiyo ilipowatembelea Wazee wanaohudumiwa katika Makazi hayo.

Mpanju amesema kuwa mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ni jukumu la kila mmoja, hivyo ikiwa ni moja ya Klabu ya Mpira yenye mashabiki wengi wakiungana na Serikali kutoa elimu ya kupambana na vitendo vya ukatili, Jamii itafikiwa na kunusuru Wanawake na Watoto kufanyiwa Vitendo hivyo.

“Ndugu zangu vitendo vingi vya ukatili wa kijinsia hasa kwa watoto vinafanywa na ndugu wa karibu na vinafanyika katika nyumba zetu, tuunganishe nguvu tupambane kutokomeza vitendo hivi” amesema Mpanju

Ameongeza kuwa kitendo cha Klabu hiyo kushuka chini kwa wananchi ni jambo la kuigwa na wadau wengine kwani ni kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwahudumia wananchi hasa makundi yenye mahitaji.

Aidha, Mpanju ametumia hadhara hiyo kuitaka Jamii kuwatunza Wazee wao na kuhakikisha wanawapatia huduma muhimu kwani Wazee hao walitimiza majukumu yao ya kuwalea na kuwatunza wakati wa ujana wao.

“Tuzingatie Malezi bora kwa watoto na familia zetu kwani tunaona Watoto wanawatelekeza Wazee wao vijijini na wao wanaishia mijini hili sio suala jema tuwalee watoto wetu vyema na wao waje watulee tukiwa Wazee” alisisitiza Mpanju 

Akitoa taarifa ya Makazi hayo Afisa Mfawidhi Jackilina Kanyamwenge amesema makazi hayo yanahudumia jumla ya wazee 21 kwa sasa na Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekuwa wakitoa huduma muhimu zikiwepo za chakula na matibabu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Klabu ya Simba Babra Gonzalez amesema Klabu hiyo itashirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kuhakikisha elimu inaifikia jamii kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto ,elimu ya Malezi kwa Mtoto na kuwatunza Wazee katika jamii.

Nao baadhi ya Wazee wanaohudumiwa katika Makazi hayo wameishukuru Klabu ya Simba kwa kuwakumbuka, kuwatembelea na kuwapa mahitaji mbalimbali yatakayowasaidia katika kupata huduma muhimu ikiwemo chakula.

About the author

Alex Sonna