slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

WAZIRI CHANA:’SERIKALI KUBORESHA UHIFADHI WA MALIKALE KUWEZA KUVUTIA WATALII ZAIDI’

Written by Alex Sonna
WAZIRI wa Maliasili na utalii Balozi Dkt Pindi Chana akiongea na waandishi wa habari  baada ya kufungua mkutano wa nane wa kimataifa wa Wanasayansi wa mambo ya kale.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mkutano wa nane wa kimataifa wa Wanasayansi wa mambo ya kale Profesa Jackson Njau ambaye pia ni muadhiri wa chuo kikuu cha Indiana Marekani akiongea na waandishi wa habari juu ya mkutano huo.
Dkt Charles Saanane akiongea na waandishi wa habari juu ya nyayo za kale zilizopo eneo la Laitoli ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro.
BAADHI ya Wanasayansi watafiti wa mambo ya kale kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika mkutano wao wa nane mkoani Arusha.
……………………………………..
NA NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA

Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Dkt Pindi Chana amesema kuwa katika bajeti ya wizara hiyo 2022/2023 wameweka mkakati wa kuboresha utunzaji na uhifadhi wa miundombinu ya malikale ili kuweza  kuwavutia zaidi watalii kuja nchini.

Dkt Chana aliyasema hayo wakati akifungua mkutano wa nane wa kimataifa wa Wanasayansi wa mambo ya kale(EAAPP) ambapo alisema kuwaTanzania itaendelea kuwa hazina ya kuweka historia ya mali kale na masalia ya kale  Afrika mashariki.
“Tutaendelea kutunza iwe ni sehemu ya historia na tafiti ambapo tunashirikiana na tasisi mbalimbali ikiwemo vyuo vikuu ambavyo vina kozi ya kufundisha masuala haya ya mali kale na masalia ya kale kwahiyo hiyo ni moja ya kipaumbele chetu kuona ni namna gani tunaweza kutunza na kuhifadhi ili watu waje kujifunza na kutalii,” Alisema Dkt Chana.
Alifafanua kuwa pia wameendelea kuweka taarifa vizuri katika Maktaba mbalimbali hususan katika vyuo vikuu  pamoja na makumbusho yote yasiyo pungua saba ambayo wataendelea kutunza  historia hiyo muhimu kwa faida ya kizazi hiki na kizazi kijacho.
Aidha  alieleza kuwa mkutano huo ni moja ya muoendelezo ya programu ya Tanzania the Royal Tour ambao umewakutanisha washiriki takribani 100 kutoka katika nchi 10 ambao ni watafiti mbalimbali wa masuala ya masalia ya mali kale ambapo wataendelea kuwa na mazao mapya ya utalii kwani Tanzania ni Tanzania ni hazina ya masuala hayo.
Kwa upande wake Profesa kutoka Chuo Cha Indiana Marekani Prof: Jackson Njau ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mkutano huo alieleza kuwa mkutano huo ni jumuiya ya wanataaluma wa mambo ya kale na jiolojia ambao wanafanya tafiti katika bonde la Ufa kwanzia Ethiopia, Kenya na Tanzania, ambapo Tanzania ina maeneo mengi ya zama za mali kale ambayo ni pamoja na Oduvai Gorge na Laitole.
Aliendelea kusema kuwa jumuiya hiyo ilianzishwa 2007 kwa lengo la kuwaleta pamoja watafiti, wahifadhi, walimu, wanafunzi, wasimamizi na watunga sera katika taaluma za Akiolojia, Paleontolojia na Jiolojia katika bonde la Ufa kujumuika na kubadishana mawazo juu ya matokeo ya tafiti zao.
“Jumuiya hii ni ya pekee na ya kwanza Afrika Mashariki kutokana  na masalia yetu na historia yetu na tija kubwa ni kwamba Wanasayansi wa Afrika Mashariki inawapa fursa ya kuleta mikutano ambayo ni rahisi kuhudhuria wanazuoni wa Kiafrika kutokana na Jumuiya kubwa mikutano yake kufanyika Marekani ambayo ni gharama kubwa hali iliyokuwa ikipelekea wengi kutohudhiria ingawa mikusanyo inayoripotiwa inatoka kwetu,” Alisema Profesa Njau.
Alifafanua kuwa kwa miaka takriban 16 EAAPP imeendelea kuwa kiungo muhimu cha kuwaelimisha wajumbe wake kuhusu matokeo ya tafiti mbalimbali zinazofanyika katika Bonde la Ufa ambalo ndilo chimbuko kuu la mwanadamu ambapo mpaka Sasa jumuiya hiyo ina wanachama 150.
Naye mwanazuoni Dkt Charles Saanane ambaye pia amefanya tafiti  nyingi takriban miaka 40 hususan eneo la Olduvai alieleza kuwa nyayo za Laitole zina karibu miaka milioni 3 ambapo nyayo hizo zimehifadhiwa kwa kuzikwa baada ya kufanya majaribio ambayo yalioneka kuwa kuzibeba nyayo hizo zitaaharibika ambapo unatakiwa utafiti mzuri wa kuweza kuandaa viifadhiwe hapohapo.

About the author

Alex Sonna