Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO – ADO SHAIBU

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, Ofisi Ndogo ya  Waziri Mkuu, Dar es salaam, Julai 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Katibu Mkuu wa Chama ACT Wazalendo, Ado Shaibu baada ya mazungumzo, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Dar es salaam, Julai 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor