Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

casibom güncel giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet giriş

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

casibom

kavbet

mavibet

jojobet

cratosroyalbet

cratosroyalbet giriş

lunabet

mislibet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

onwin

Hacklink Panel

casinomilyon

vdcasino giriş

bets10 giriş

jojobet giriş

nerobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

Meritking

nerobet

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

holiganbet

grandpashabet

tipobet

meritking

artemisbet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet adres

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

caddebet, caddebet giriş

monobahis, monobahis giriş

grandpashabet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

dinamobet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

pusulabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

Google

primebahis

primebahis

marsbahis

sweet bonanza siteleri

Doctors | Akdeniz University Hospital

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

grandpashabet

casinoroyal

casinomilyon

betplay

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet

jojobet

jojobet giris

jojobet telegram

jojobet telegram

jojobet

jojobet telegram

jojobet giriş

bahiscom

Hacklink panel

jojobet

holiganbet

Google

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet giriş

matbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

mavibet giriş

meritking

betpas

betgaranti

betoffice

primebahis

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

sweet bonanza

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

artemisbet

robinbet

hitbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

interbahis, interbahis giriş

betine

jojobet

jojobet giris

jojobet güncel giriş

betkolik

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet adres

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet giris

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet giris

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

bahisfair

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet adres

jojobet güncel giriş

goldenbahis

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

kulisbet

deneme bonusu

jojobet giriş

türk ifşa

casibom

jojobet

https://sjconsultors.com/

jojobet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet güncel

Featured Kitaifa

MAHAFALI YA 10 CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KOLANDOTO SHINYANGA YAFANA

Written by Alex Sonna

Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakiandamana kutoka Jengo la Utawala la chuo hicho kuelekea kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi Kolandoto Manispaa ya Shinyanga yamefanyika leo Ijumaa Julai 29,2022 ambapo Jumla ya wanafunzi 255 wametunukiwa Stashahada na Astashahada katika Programu za Uuguzi na Ukunga, Maabara ya Binadamu , Utabibu , Ufamasia na Ufundi ‘ Laboratory Assistant and Computer Application’.
 
Mgeni rasmi katikaMahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto kinachomilikiwa na Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) alikuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhani Masumbuko kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema.
 
Akizungumza wakati wa mahafali hayo, Masumbuko amekipongeza Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto kwa kutoa Programu mbalimbali na kuanza mchakato wa kuanzisha Chuo Kikuu cha Kolandoto akisema ni mipango ya mkoa wa Shinyanga kuanzisha vyuo mbalimbali mkoani humo ili kuongeza fursa za kiuchumi.
 
“Serikali ya mkoa wa Shinyanga inaendelea kuvutia wawekezaji mbalimbali ili wawekeze katika vyuo ili kuubadilisha mkoa wa Shinyanga…Ni fursa kwenu kuchangamkia fursa ya elimu ya juu sisi mkoa tumejipanga kufanikisha haya”,amesema.
 
“Serikali imeridhia kutoa sehemu ya eneo la shule ya Msingi Kolandoto ili kuongeza eneo la chuo cha Kolandoto”,amesema Masumbuko.
 
Aidha amewataka wahitimu hao kwenda kuzingatia maadili pindi watakapoanza kuhudumia wananchi katika jamii.
 
“Elimu hii mliyopata ni elimu kubwa na sasa mnaenda kuingia katika ulimwengu wa kiutendaji, mnapaswa kwenda kuwa chachu, mkawe waadilifu mnapohudumia wananchi, mavazi yenu yakawe mazuri, lugha nzuri, na mkajiendeleze kielimu pia, elimu za juu zitawapa fursa zaidi za ajira”,amesema Masumbuko.
 
Akisoma taarifa ya chuo hicho, Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto Dkt. Paschal Shiluka amesema jumla ya wahitimu wa kozi mbalimbali mwaka huu ni 255 kati yao 139 ni wa jinsia ya kike akibainisha kuwa lengo la chuo ni kuwa na 50% kwa 50% na wamevuka lengo la serikali kwa kuwa na wanafunzi wa jinsia ya kike zaidi ya 50%.
 
Amesema Wanafunzi 255 wametunukiwa Stashahada na Astashahada katika Programu za Uuguzi na Ukunga ‘Nursingi and Midwifery’, Maabara ya Binadamu ‘Medical Laboratory Sciences’, Utabibu ‘ Clinical Medicine’, Ufamasia ‘Pharmaceutical Sciences’, na Ufundi ‘ Laboratory Assistant and Computer Application’ ambazo zinaotolewa na Chuo cha Sayansi za Afya kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET).
 
“Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto kilianzishwa mwaka 1957 kikiwa na Programu moja na sasa kimekuwa na ongezeko la Programu na wanafunzi kila mwaka, wahitimu wa kwanza walikuwa sita tu tofauti na tunaposherehekea mahafali haya ya 10 tukiwa na wahitimu 255”,amesema Dkt. Shiluka.
 
“Upekee wa mahafali ya mwaka huu, kwanza mahafali haya yameanza kwa kuwa na wiki la Mahafali ambapo kwa kushirikiana na Shirika la Doctors with Africa tumeweza kutoa huduma za afya kwa jamii na wanachuo, jumla ya wananchi 75 wamepatiwa chanjo ya Uviko 19, 100 wamepima magonjwa yasiyoambukiza, hali kadhalika kumwe na michezo mbalimbali iliyoshirikisha wanafunzi,wataaluma na wafanyakazi wa Chuo na Hospitali”,ameeeleza.
 
Amewataka wahitimu hao kuondokana na imani potofu ya kusubiri ajira kutoka serikalini kwani ujuzi waliopata chuoni unawezesha wao kujiajiri na kuajiri wengine.
 
“Mawazo ya kusubiri ajira serikalini ni mawazo potofu. Changamoto zilizopo katika jamii mzitumie kama fursa ya kujiajiri na kuajiri wengine, utaalamu mliopata chuoni utumieni kujiajiri na kuajiri wengine, nendeni mkaanzishe maabara zenu, famasi zenu na taasisi zingine kwa kadri Mungu atakavyowajalia”,ameongeza Dkt. Shiluka.
 
“Tunaendelea na utekelezaji wa Mpango mkakati wa miaka mitano ukiwa na malengo ya kuanzisha Chuo Kikuu cha Kolandoto (-Kolandoto University – KOU) ifikapo mwaka 2026,kubaini, kupima ardhi na kuweka uzio katika maeneo yote ya chuo, kuvutia wawekezaji wengi kuwekeza katika miundo mbinu wezeshi kwenye uanzishwaji wa Chuo Kikuu, kuwa na mpango rasmi (Land Master Plan) wa ardhi na kuwa na wanachuo zaidi ya 3000”,amesema Dkt. Shiluka.
 
Ameongeza kuwa Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto kimekuwa na mafanikio mengi ikiwemo kupanua na kukarabati maabara ya kufundishia na kuweza kutumiwa na wanafunzi 100 kwa wakati mmoja, kujenga kumbi mbili za madarasa, kupanua maktaba ya chuo,kuongeza kozi ya utabibu katika Kampasi ya Mwanza, kukarabati nyumba 2 za watumishi,kukarabati hosteli 2,kuboresha maslahi na motisha kwa watumishi,kujenga vimbweta, kushiriki Maonesho ya kitaifa ya vyuo vya kati na vyuo vikuu Dodoma na kupeleka watumishi wake kwenye hifadhi ya taifa ya Ruaha.
 
Aidha ameomba eneo la Kolandoto liwe na kituo cha polisi na kuhamasisha uwekezaji wa nyumba za makazi eneo la chuo kwa kujenga Hosteli za wanafunzi na kuongeza huduma za kijamii.
 
Naye Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Shinyanga Zakayo Bugota amewataka wahitimu hao watakapokwenda kuanza kufanya kazi wazingatie maadili ya kazi yao huku akiwashauri kutumia elimu waliyopata kusaidia jamii.
 
ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakiandamana kutoka Jengo la Utawala la chuo hicho kuelekea kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga leo Ijumaa Julai 29,2022. Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakiandamana kutoka Jengo la Utawala la chuo hicho kuelekea kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakiandamana kutoka Jengo la Utawala la chuo hicho kuelekea kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga.
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakiandamana kutoka Jengo la Utawala la chuo hicho kuelekea kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakiandamana kutoka Jengo la Utawala la chuo hicho kuelekea kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakiandamana kutoka Jengo la Utawala la chuo hicho kuelekea kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mgeni rasmi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhani Masumbuko akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema kwenye Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi Kolandoto Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Dkt. Paschal Shiluka akizungumza kwenye Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Dkt. Paschal Shiluka akizungumza kwenye Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Shinyanga Zakayo Bugota akizungumza kwenye Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mkurugenzi wa Idara ya Afya wa Kanisa la AICT Dkt. Leopord Gilala akizungumza kwenye Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mwakilishi
wa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto 
Mch. Juma Kiyumbi akizungumza kwenye Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Wahitimu wa Programu ya Ukunga na Uuguzi wakiwa kwenye Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Wahitimu wa Programu ya Ukunga na Uuguzi wakiwa kwenye Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakiwa kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga

Wazazi na wageni wakiwa kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Wazazi wakiwa kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
AICT Tumaini Choir ikitoa burudani kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mhitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto akitoa burudani kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhani Masumbuko  akiwatunuku vyeti wahitimu wa Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto. Wahitimu hao wametunukiwa Stashahada na Astashahada katika Programu za Uuguzi na Ukunga, Maabara ya Binadamu , Utabibu , Ufamasia na Ufundi ‘ Laboratory Assistant and Computer Application’. Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhani Masumbuko  akiwatunuku Stashahada na Astashahada katika Programu za Uuguzi na Ukunga, Maabara ya Binadamu , Utabibu , Ufamasia na Ufundi ‘ Laboratory Assistant and Computer Application’. Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mahafali yanaendelea
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhani Masumbuko  akiwatunuku vyeti wahitimu wa Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto. Wahitimu hao wametunukiwa Stashahada na Astashahada katika Programu za Uuguzi na Ukunga, Maabara ya Binadamu , Utabibu , Ufamasia na Ufundi ‘ Laboratory Assistant and Computer Application’. Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhani Masumbuko  akiwatunuku vyeti wahitimu wa Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto. Wahitimu hao wametunukiwa Stashahada na Astashahada katika Programu za Uuguzi na Ukunga, Maabara ya Binadamu , Utabibu , Ufamasia na Ufundi ‘ Laboratory Assistant and Computer Application’. Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhani Masumbuko  akiwatunuku vyeti wahitimu wa Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto. Wahitimu hao wametunukiwa Stashahada na Astashahada katika Programu za Uuguzi na Ukunga, Maabara ya Binadamu , Utabibu , Ufamasia na Ufundi ‘ Laboratory Assistant and Computer Application’. Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhani Masumbuko  akiwatunuku vyeti wahitimu wa Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto. Wahitimu hao wametunukiwa Stashahada na Astashahada katika Programu za Uuguzi na Ukunga, Maabara ya Binadamu , Utabibu , Ufamasia na Ufundi ‘ Laboratory Assistant and Computer Application’. Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhani Masumbuko  akiwatunuku vyeti wahitimu wa Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto. Wahitimu hao wametunukiwa Stashahada na Astashahada katika Programu za Uuguzi na Ukunga, Maabara ya Binadamu , Utabibu , Ufamasia na Ufundi ‘ Laboratory Assistant and Computer Application’. Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga
Wahitimu wa Programu ya Uuguzi na Ukunga wakila kiapoo
Wahitimu wa Programu ya Maabara wakila kiapo
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakipiga picha ya kumbukumbu na mgeni rasmi
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakipiga picha ya kumbukumbu na mgeni rasmi
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakipiga picha ya kumbukumbu na mgeni rasmi
 
 Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
About the author

Alex Sonna