Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet giriş

betsat

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

piabellacasino

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino giriş

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

mavibet

piabellacasino giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

mavibet giriş

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betzula

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

maxwin

betsat

sahabet

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

royalbet

pashagaming

artemisbet

sahabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

Featured Kitaifa

CCM YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI MKUBWA UNAOFANYWA NA SERIKALI KATIKA SEKTA YA ELIMU NCHINI

Written by Alex Sonna

Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinaridhishwa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu nchini.

Kauli hiyo imetolewa leo Julai 21,2022 na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka alipotembelea Maonesho ya 17 ya Vyuo Vikuu yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja mkoani Dar es Salaam.

Kabla ya kutoa kauli hiyo Shaka alipata nafasi ya kutembelea mabanda mbalimbali yaliyokuwepo kwenye Maonesho hayo na kisha akatoa maelezo kuhusu na jitihada zinazofanywa na Serikali katika kuboresha sekta ya elimu nchini ukiwemo Wizara ya elimu na Taasisi zake.

“Katika elimu kuna uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan ambao unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hii na Chama chetu kinaridhishwa sana,”amesema Shaka na kuelezea hatua kwa hatua yanayoendelea kufanywa na Serikali ili kuendelea kuiboresha zaidi ya sekta ya elimu.

“Nimetembelea mabanda ya taasisi mbalimbali za elimu zinazoshiriki maonyesho haya, nimejionea na kusikia mambo makubwa ya maendeleo,” ameeema na kuongeza katika bajeti ya mwaka huu ongezeko la fedha kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu pamoja na wizara nzima ya elimu, ni hatua muhimu iliyotengeneza mazingira rafiki kwa sekta ya elimu,”amesema Shaka.

Akielezea zaidi Shaka amesema huko nyuma kulikuwa na malalamiko mengi aliyokuwa akiyapokea ofisini kwake kuhusu mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, yaliyomlazimu kutembelea Bodi ya Mokopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na sasa hali imeimarika.

Amefafanua kwamba Rais Samia amefanya kazi kubwa katika sekta ya elimu katika kipindi cha mwaka mmoja na moja ya mambo ambayo hayazungumzwi sana ni namna alivyosamehe deni la karibia Sh. trilioni 1.1 ambalo lilikuwa halilipiki kwa bodi hii ya mikopo.

Aidha Shaka amesema Sh.bilioni 985 ambazo zimetengwa katika bajeti ya 2022/2023 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya vikuu, kuwapatia mafunzo ya taaluma wahadhiri na kununua vitendea kazi itazidi kutengeneza mazingira mazuri kufundisha na kujifunzia.

“Azma na utayari wa Rais Samia kuibeba sekta hii ya elimu sote tumekuwa mashuhuda, name nataka niwaambie kuwa ameanza vizuri, tunaamini uboreshaji huu utaendelea.”

Kwa upande wake Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Charles Kihampa amesema wanaishukuru Serikali ya CCM kwa kuendelea kuitazama kwa karibu sekta ya elimu nchini na kwamba katika kipindi cha mwaka mmoja madarakani, uwekezaji mkubwa umefanywa a na Rais Samia katika elimu.

Amesema uwekezaji huo umechochea ongezeko la wanafunzi wanaodahiliwa kwa ajili ya elimu ya juu kutoka wanafunzi 8,7934 hadi 100,620.Aidha Profesa Kihampa amemueleza Shaka kuhusu juhudi zinazoendelea katika kuboresha elimu na taaluma inayotolewa na Vyuo Vikuu nchini.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa
(NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka akieleza jambo kwa  Viongozi waandamizi wa 

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania  (TCU), Prof Charles
Kihampa  pamoja na Mkurugenzi Udahili na Menejimenti ya Data
Dkt.Kokuberwa Mollel mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja kwa
ajili ya kutembelea Maonesho ya 17
ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
mkoani Dar es Salaam.PICHA NA MICHUZI JR-MMG.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa
(NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka akipokewa na Viongozi waandamizi wa 

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania  (TCU), Prof Charles
Kihampa  pamoja na Mkurugenzi Udahili na Menejimenti ya Data
Dkt.Kokuberwa Mollel wakati akiwasili
leo Julai 21,2022 katika viwanja vya Mnazi Mmoja kwa
ajili ya kutembelea Maonesho ya 17
ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
mkoani Dar es Salaam

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa
(NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka akizungumza mbele ya waandishi wa vyombo vya habari mara baada ya kutembelea Maonesho ya 17 ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja 
leo Julai 21,2022

About the author

Alex Sonna