Featured Kitaifa

WIZARA YA AFYA YAZINDUA UHAMASISHAJI CHANJO YA UVIKO 19

Written by mzalendoeditor

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Hassan Hafidh akizungumza na masheha na madaktari wa Wilaya ya Magharibi A’na B’ juu ya  umuhimu wa chanjo ya Uviko 19 wakati wa  uzinduzi wa kuhamasisha   chanjo  hiyo huko   Hospitali ya Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi.

Mwakilishi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt Andamichel Ghirmay akitoa neno la shukurani kwa Wizara ya Afya Zanzibar wakati wa  uzinduzi wa kuhamasisha   chanjo  ya Uviko 19  huko   Hospitali ya Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi.

Mratibu wa chanjo ya Uviko 19 Abdulhamid Ameir Saleh akizungumza na masheha na madaktari  wa Wilaya ya Magharibi A’na B’ juu ya umuhimu wa chanjo ya Uviko 19 wakati wa  uzinduzi wa kuhamasisha   chanjo  hiyo huko   Hospitali ya Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi.

Wanafunzi wa skuli za sekondari Wilaya ya Magharibi “A” wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa kuhamasisha   chanjo ya UVIKO 19  huko   Hospitali ya Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi.

About the author

mzalendoeditor