Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

avrupabet giriş

radissonbet

avrupabet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

imajbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

Featured Kitaifa

RUWASA YABAINISHA MIKAKATI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI VIJIJINI

Written by Alex Sonna

MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Clement Kivegalo,akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 19,2022 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa kuhusu utendaji kazi wa RUWASA.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa,akizungumza na waandishi wa habari wakati wa taarifa ya utendaji kazi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) leo Julai 19,2022 jijini Dodoma .

…………………………………..

Na.Eva Godwin-DODOMA

SERIKALI  kupitia wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA inatarajia kutumia kiasi cha shilingi bilioni 387.7 kutekeleza miradi ya maji elfu moja na ishirini na tisa (1029) ambapo miradi 381 ni mipya na miradi 648 ya zamani hivyo kufanya kufikia Jumla ya shilingi bilioni 889.2 zilizotolewa tangu Rais samia kuingia madarakani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji yenye lengo la kuondoa uhaba wa maji vijijini.

Kauli hiyo imetolewa  leo Julai 19,2022 jijini Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Clement Kivegalo, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji Vijijini kupitia bajeti ya 2022 – 2023 ambapo amesema kiasi hicho ni kikubwa kuwahi kutolewa na kuahidi kusimamia kikamilifu kumaliza kero ya maji Vijijini.

“Kiasi cha bilioni 387,736,591, 242 hizi ni fedha ambazo zimeidhinishwa na Bunge kwa ajili utekelezaji wa miradi hiyo kukamilika kwa miradi hiyo kutawezesha upatikanaji wa huduma za maji vijijini na kuongezeka kwa wastani wa asilimia 6” amesema Kivegulo.

Akizungumzia kupeleka maji katika kijiji cha Msomera Handeni Tanga amesema RUWASA inaendelea na ujenzi wa bwawa la maji katika kijiji cha Msomera kwa gharama ya Shilingi bilioni 1.99 ambapo kwa sasa umefikia asilimia 15 na Ujenzi huo utakapokamilika, utasaidia kuboresha huduma ya maji kwa wananchi pamoja na mifugo.

RUWASA inatekeleza ujenzi wa mradi wa maji katika Kijiji hicho, ambapo mpango wa utekelezaji uligawanywa katika awamu mbili (awamu ya muda mfupi na awamu ya muda mrefu),Ambapo awamu ya muda mfupi imekamilika na vituo vya kuchotea maji 12 vimeshaanza kutoa huduma ya maji, awamu ya pili imefikia asilimia 70 na inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Julai, 2022.

Amesema kukamilika kwa awamu hiyo kutawezesha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wapatao 17,000 pamoja na mifugo yao na kupelekea idadi ya vituo vya maji kuongezeka kutoka 12 hadi kufikia vituo vya kuchotea maji 30 kwa matumizi ya binadamu na vituo 3 vya kunyweshea maji mifugo.

“Niwahakikishie tu wananchi wanaohamia kijiji cha Msomera kuwa hawatapata changamoto yeyote ya maji hivyo ambao bado hawajahamia wafanye hivyo kwa uhakika RUWASA imedhamiria kuondoa kabisa tatizo la maji katika vijiji vyote na kusaidia kukamilisha adhma ya Mhe.Raisi ya kumtua mama ndoo Kichwani”amesema Mhandisi Kivegalo

Mhandisi Kivegalo amesema kuwa kwa sasa, kati ya vijiji vyote nchini 12,319 ni vijiji 8,769 vinavyofikiwa na huduma ya uhakika ya maji safi na salama.

“Kwa mujibu wa tathmini iliyofanyika mwezi Aprili, 2022 upatikanaji wa huduma ya maji vijijini ulikuwa umefikia kiwango cha asilimia 74.5 ikiwa ni ongezeko la asilimia 9.7 ikilinganishwa na wastani wa 64.8 mwaka 2019″Amesema Mhandisi Kivegalo

Na kuongeza “Kasi hii, ni nzuri na tukienda kwa kasi hii, tunatarajia kuvuka lengo la asilimia 85 ifikapo mwaka 2025, kama ilivyoelekezwa na Ilani ya Chama cha Mapinduzi”

Ambapo katika mwaka wa fedha 2021/2022 Serikali kupitia RUWASA ilipanga kutekeleza jumla ya miradi ya maji 1,527, ambapo kati ya hiyo, miradi 1,176 ilikuwa ni ujenzi wa skimu za usambazaji maji, miradi 351 ilikuwa ni ya utafutaji wa vyanzo vya maji chini ya ardhi na miradi 19 ilikuwa ni ya usanifu na jenzi wa mabwawa, ambayo baadaye hutumika kama vyanzo vya maji.

Mhandisi Kivegalo ameeleza kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwaka wa fedha 2021/2022 jumla ya miradi 303 ilikuwa imekamilika na miradi 873 ilikuwa inaendelea na utekelezaji,Miradi 225 kati ya miradi iliyokuwa inaendela na utekelezaji inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Septemba, 2022 na miradi 648 itaendelea na utekelezaji. Kukamilika kwa miradi 303, kumewezesha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wapatao 1,467,107 kupitia vituo vya kuchotea maji 4,147 vilivyojengwa katika maeneo ya vijiji mbalimbali.

Kwa upande wake Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari maelezo Gerson Msigwa amesema kuwa katika sekta ya maji Mhe.Rais ameahidi na anaendelea kutekeleza kauli mbiu yake ya kumtua mama ndoo kichwani kwa sababu bila maji hakuna jambo lolote la kijamii au kimaendeleo linaloweza kuendelea ndio maana RUWASA wanapambana usiku na mchana kuhakikisha vijiji vyote vinapata huduma ya maji kwa uhakika.

“Kwanza niwapongeze RUWASA kwa sababu tangu kuanzishwa kwa mamlaka hii imekuwa ikifanya kazi kubwa sana kuhakikisha vijiji ambavyo hawakuwa na huduma za maji vinapata maji na kwa kweli kazi yenu inaonekana na matokeo yake imemfanya Mhe.Rais kuongeza bajeti ya wizara ya maji ili kuendelea kuongeza tija ya upatikanaji wa maji kwa wananchi “Amesema Msigwa.

About the author

Alex Sonna