slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

casibom giriş

dlakjfol

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured

WAZIRI MAKAMBA ATATUA CHANGAMOTO YA UMEME SENGEREMA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba akizungumza na Wananchi wilayani Sengerema ambapo aliwaeleza kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali ili kutatua changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika wilayani humo.

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akizindua huduma ya umeme katika Shule ya Msingi ya Kizugwangoma inayofundisha watoto wenye mahitaji maalum.

Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba akizungumza na Wafanyakazi wa TANESCO, Mkoa wa Mwanza ambapo aliwaeleza mikakati ya Serikali ya kuliboresha shirika hilo ili kuweza kutoa huduma bora kwa wananchi.

Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba akizungumza na Kikundi cha  Mamalishe Busisi ikiwa ni sehemu ya umasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo aliwapatia pia mitungi ya gesi ili kurahisisha shughuli zao za upishi na pia kuepukana na athari za kuni na mkaa.

……………………………..

WAZIRI  wa Nishati, Mhe.January Makamba ametatua changamoto ya muda mrefu ya kutopata umeme wa uhakika  wilayani Sengerema kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukatika kwa laini iliyokuwa ikipeleka umeme wilayani humo kutokea Mwanza ambako kulisababishwa na shughuli za ujenzi wa Daraja la Busisi na kupelekea umeme kukatika zaidi ya mara 10 kwa siku.

Waziri wa Nishati alitatua changamoto hiyo tarehe 14 Julai, 2022 baada ya kufika wilayani humo ikiwa ni sehemu ya ziara yake siku 21 katika mikoa 14 nchini ambapo pamoja na kukagua miradi inayotekelezwa na Wizara ya Nishati kupitia Taasisi zake, ziara hiyo imelenga kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua.

“Sababu za kutokuwa na umeme wa uhakika wilayani hapa ni uchakavu wa miundombinu na kukua kwa mahitaji, lakini sisi pia hatukufanya kazi ya kupanua na kuboresha miundombinu ili kuendana na mahitaji ya sasa. Awali, Sengerema ilikuwa ikipata umeme kutoka njia ya Geita na Mwanza lakini njia ya mwanza ilikatika kwa bahati mbaya, hivyo kufanya Sengerema kupata umeme kutokea Geita pekee ambao hautoshi.” Alisema Makamba

Ili kutatua changamoto hiyo, Waziri Makamba alisema kuwa, hadi kufikia mwezi wa 10 mwaka huu itajengwa njia nyingine ya umeme kutokea kituo cha Mpomvu Geita ambayo itapeleka umeme wa megawati 20 wilayani humo na hivyo kukidhi mahitaji kwani kwa sasa matumizi ya umeme ya Sengerema ni megawati 5 hadi 6.

Aliongeza kuwa, Daraja la Busisi litakapomalizika itajengwa tena laini ya umeme kutokea jijini Mwanza na hivyo kufanya Wilaya hiyo kuwa na uhakika zaidi wa upatikanaji umeme na kwamba kutakuwa na laini nyingine ya kV 220 ambayo itapita pia wilayani humo ambayo imelenga kupeleka umeme kwenye migodi.

Kuhusu umeme vijijini, alisema kuwa Wilaya hiyo ina vijiji 153 na tayari vijiji 143 vimeshasambaziwa umeme na kwamba Vijiji 10 vilivyobaki vinaendelea kusambaziwa umeme kupitia mradi wa umeme vijijini wa Awamu ya Tatu, mzunguko wa Pili.

Akiwa wilayani Sengerema, Waziri wa Nishati  aligawa mitungi ya gesi takriban 80  ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo alifafanua kuwa, hiyo ni programu maalumu ya majaribio ambayo itawezesha upatikanaji wa taarifa zitakazozewesha kutengeneza mpango mkubwa wa kitaifa wa usambazaji wa gesi nchini na kwamba programu hiyo ni ya miezi Sita na wanufaika ni kinamama.

Kuhusu usambazaji umeme visiwani, alisema kuwa shilingi bilioni 54 zimetengwa kwa ajili ya kusambaza umeme kwenye visiwa takriban 47 nchini huku visiwa 35 vikiwa ndani ya Ziwa Victoria.

Waziri wa Nishati, pia aliwasha umeme katika shule ya watoto wenye mahitaji maalum ya Kizugwangoma ambapo Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Benedicto Bijiga alimweleza Waziri kuwa, umeme huo sasa unawawezesha wanafunzi hao wenye mahitaji maalum kujifunza kwa kutumia luninga, kupata burudani na pia kurahisisha matumizi mengine kama ya kuchapa na kudurufu mitihani. 

About the author

Alex Sonna