Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI KILIMANJARO KWA ZIARA YA KIKAZI

Written by mzalendoeditor

 

Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Stephen Kagaigai, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Kilimanjaro  wakati alipowasili mkoani humo leo tarehe 15 Julai 2022  kwa ziara ya kikazi.

About the author

mzalendoeditor