Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

gameofbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark güncel giriş

porno izle

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

pashagamingg

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

holiganbet

Featured Kitaifa

CHONGOLO AFUNGUA KIKAO CHA TATHMINI NA WAKUU WA SHULE ZA JUMUIYA YA WAZAZI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo,akizungumza  wakati akifungua  kikao cha tathmini na Wakuu wa Shule za Jumuiya ya Wazazi kilichofanyika leo Julai 15, 2022 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Dkt. Edimund Mndolwa,akizungumza  wakati wa kikao cha tathmini na Wakuu wa Shule za Jumuiya ya Wazazi kilichofanyika leo Julai 15, 2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Jumuiya Ya Wazazi Bw.Gilbert Kalima ,akizungumza  wakati wa kikao cha tathmini na Wakuu wa Shule za Jumuiya ya Wazazi kilichofanyika leo Julai 15, 2022 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mitihani Shule za Jumuiya ya Wazazi Mwalimu Jacob Msigwa ,akizungumza  wakati wa kikao cha tathmini na Wakuu wa Shule za Jumuiya ya Wazazi kilichofanyika leo Julai 15, 2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akimkabidhi cheti cha pongezi Mwanafunzi Philip Antipas Ng’eleshi kwa kushika nafasi ya 9 Kitaifa katika mtihani wa kidato cha sita  katika mchepuo wa PCB,katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dk. Edmund Mndolwa na kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Wari Mwalimu Naomi Kikoti  wakati wa kikao cha tathmini na Wakuu wa Shule za Jumuiya ya Wazazi kilichofanyika leo Julai 15, 2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akimkabidhi cheti cha pongezi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Ivumwe Sekondari Mwalimu Joseph K. Labre ambaye shule anayoiongoza imefanya vizuri katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dk. Edmund Mndolwa.

……………………………

Na Eva Godwin-DODOMA

KATIBU  Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Daniel Chongolo amewataka Wakuu wa shule zote zilizochini ya Jumuiya za Chama hicho kuhakikisha wanazingatia miongozo ya uendeshaji wa shule na kusimamia ubora wa kiwango cha elimu ili ziwe shindani na  shule nyingine.

Hayo ameyasema leo Julai 15,2022  wakati akifungua Mkutano wa Wakuu wa Shule za Sekondari zilizochini ya Jumuiya ya Wazazi wa CCM waliokutana Jijini Dodoma kwa lengo la kufanya tathmini ya utendaji kazi katika shule hizo.

Chongolo amesema shule hizo zinatakiwa kuwa mfano katika uendeshaji wake, ufaulu na katika maadili.

“Sasa hivi hatupo tena kwenye giza,tunatakiwa kuongeza bidii kwenye haya mafanikio tuliyoyaleta wenyewe na lazima mfahamu kuwa hakuna muujiza kwenye mafanikio,”amesema

Amesema ili kuendana na malengo ya kuanzisha shule hizo inatakiwa kila kundi lipewe dozi kulingana na hali halisi ya madaraja yao na kwamba kila jambo linahitaji msukumu zaidi wa mafanikio .

“Ahadi yangu ipo palepele kuhakikisha walimu wanakuwa na mazingira mazuri zaidi ili kuendana na hadhi ya Jumuiya hii ikiwa ni pamoja na kuongeza madarasa mawili mawili,tutaangalia pia uhitaji wa shule husika hali itakayoongeza ufanisi na kupekelea shule zetu kuwa kimbilio kwa kila mtu,”amefafanua Chongolo

Aidha Chongolo amewataka Wakuu hao kupenda kufanya kazi kwenye mazingira yanayohitaji mafanikio na kukemea tabia ya baadhi ya walimu kutamani shule zilizofanikiwa.

Katika Hatua nyingine Chongolo amesema serikali imeongeza fursa za upatikanaji wa mikopo ikiwamo kupunguza masharti ya kupata mikopo na wataweka mkazo katika kuzalisha wataalamu wa  lugha ya Kiswahili na ukalimani.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Dkt. Edimund Mndolwa amesema kwa sasa kumekuwa na mabadiliko makubwa katika shule zilizochini ya jumuiya hiyo hasa katika ufaulu, huku mwenyekiti wa kamati ndogo ya mitihani katika shule hizo mwalimu Jacob Msigwa akaelezea mafanikio waliyoyapata.

”Kwa sasa shule zetu zina utulivu wa kutosha tofauti na ilivyokuwa mwanzo na kueleza kuwa hali hiyo imetokana na maelekezo ya uongozi uliopo na kufanya matokeo mazuri
kwa shule zote za wazazi licha ya wanafunzi waliopo ni wale wanaodhaniwa kuwa hawafundishiki’amesema Dk.Mndolwa

About the author

Alex Sonna