Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA KWENYE ZIARA MANYONI MKOANI SINGIDA

Written by mzalendoeditor

Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida iliyopo katika kata ya Solya, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni. 

Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Mhandisi Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Injinia Ahmed Suleiman, wakati alipotembelea mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida iliyopo katika kata ya Solya, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni. 

Mkuu Kassim Majaliwa akikagua mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida iliyopo katika kata ya Solya, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni. 

Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Manyoni, wakati alipotembelea mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida iliyopo katika kata ya Solya, wilayani humo. 

Muonekano wa mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida iliyopo katika kata ya Solya, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni. Julai 15, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor