Featured Kitaifa

RAIS WA ZANZIBAR AMBAE PIA NI MSARIFU WA TAASISI YA BENJAMIN MKAPA AHUDHURIA MKUTANO WA KUMBUKIZI YA HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Idrisa Mustafa Kitwana (kushoto kwa Rais) alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja kuhudhurika kumbukizi ya Hayati Benjamin Mkapa.iliyofanyika leo 14-7-2022 katika ukumbi wa Hoteli hiyo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Mohammed Gharib Bilal, alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja, wakati wa mkutano wa kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika leo 14-7-2022, katika ukumbi huo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Karume, alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja, wakati wa mkutano wa kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika leo 14-7-2022, katika ukumbi huo.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Wageni waalikwa katika mkutano wa Kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 14-7-2022.(Picha na Ikulu)WAKE wa Viongozi wakifuatilia Mkutano wa Kumbukizi ya Hayati Benjamin Willian Mkapa iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-7-2022, wakati Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali.(hayupo pichani) akihutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuzungumza katika hafla hiyo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza katika mkutano wa Kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-07-2022, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin .(Picha na Ikulu)  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Rais Mstafu wa Msumbiji Mhe Joachim Chisano, baada ya kumalizika kwa mkutano wa kumbukizi ya Hayati Benjamin William Mkapa, uliofanyika katika ukumbi wa  Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kuembesamaki Unguja leo 14-7-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor