Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet, aresbet giriş

betcio, betcio giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

tipobet

jojobet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

cratosroyalbet

tarafbet

kavbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

1win

holiganbet

pusulabet

marsbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

meritbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

vaycasino giriş

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

kavbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Jojobet

Jojobet

Featured Kitaifa

SHAKA AZURU KABURI LA MAALIM SEIF NA OMARI ALI JUMA

Written by Alex Sonna

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, akiwa na viongozi mbalimbali wakishiriki dua maalumu kumuombea aliyekuwa Makamu wa Rais, marehemu Dk. Omari Ali Juma alipozuru kaburi hilo lililopo Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, akiwa na viongozi mbalimbali wakishiriki dua maalumu kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, alipozuru kaburi hilo lililopo Shehia ya Mtambwe Mkoa wa Kaskazini Pemba. (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).
********************************

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema wakati Watanzania wakifikisha miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi nchini, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Omari Ali Juma pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad wametoa mchango mkubwa kuufanikisha.

Aidha, kimesema viongozi hao wameacha mafunzo muhimu kwa Watanzania kwani walikuwa mstaribwa mbele katika kusimamia uzalendo, uvumilivu na kuamini katika maridhiano kwa lengo la kuhakikisha nchi inakuwa salama.

 Akizungumza kwa nyakati tofauti alipozuru makabuli ya viongozi hao akianza na kaburi la Dk. Omari lililopo ChakeChake Pemba na baadae kaburi la Maalim Seif lilipo Kijiji cha Mnyali Shehi aua Mtambwe Kaskazini kisiwani humo, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka alisema viongozi hao wametoa mchango mkubwa katika medani za siasa nchini.

Akiwa katika kaburi la hayati Dk. Omari, Shaka alisema imetimia miaka 21 sasa tangu kiongozi huyo alipoitwa na Mwenyezi Mungu na akaitika. “Miaka 21 ya kutokuwepo kwa Dk. Omari Ali Juma imekuwa na funzo kubwa kama taif, wote tunakumbuka katika uhai wake alikuwa kiongozi ambaye ni nguzo iliyotegemewa ndani ya Zanzibar lakini na Tanzania.

” Dk. Omari ni kiongozi ambaye kwa nyakati zote hakuacha kuishi kwenye uzalendo, hakuacha kuishi kwenye uanamapinduzi halisia, lakini Dk. Omar alibeba dhana ya ukombozi wa visiwa vya Unguja na Pemba na uhuru wa Tanzania na kwa nyakati zote alizoaminiwa katika nafasi zote alitimiza wajibu wake kwa weledi, alitimiza wajibu wake kwa uthubitu, lakini alitimiza wajibu wake kwa uaminifu mkubwa,” alisema Shaka.

Aliongeza kuwa jambo ambalo ameliacha kama darasa kwa wananchi hususan viongozi katika umri ambao Mungu atawajaalia kuishi duniani.

Aidha, alisema wakati Watanzania wakimwombea Dk. Omari nchi inatimiza miaka 30 tangu kuasisiwa mfumo wa vyama vingi vya siasa, hivyo huwezi kuzungumzia miaka 30 ya demokrasia ndani ya Tanzia bila ya kuzungumzia mchango wake katika kuhuisha na kudumisha demokrasia.

“Dk. Omar Ali Juma alikuwa mwanasiasa nguli aliyetoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi ambaye alikibeba Chama hiki kwenye mabega yake tangu akiwa ASP hatimaye Chama Cha Mapinduzi, nyakati zote alitimiza wajibu wake wa kukipigania, kukisimamia na kuhakikisha kwamba Chama kinakuwa mkombozi kwa wana CCM wa Unguja na Pemba,” alisema.

Alisema Dk. Omari hatasahaulika katika kurasa za kumbukumbuku hasa kisiwani Pemba kwani alifanya kazi kubwa ya kuleta mageuzi ambayo ndani yake alitamani kuona maelewano, mapatano, mshikamano na alitamani kufanya siasa za kidugu.

“Ndoto hizo leo tumshukuru  Mwenyezi Mungu kwani Rais Samia Suluhu Hassan anaziishi na anaziendeleza, tumwombee kwa Mwenyezi Mungu Rais Samia aweze kuendana vyema na maoni na dira ya watangulizi waliotangulia katika nchi yetu. Kwa hiyo wakati tunamwombea Dk. Omari Ali Juma, tumwombee na Rais Samia Suluhu Hassan aweze kutenda mema yale ambayo waliotangulia waliyafanya,” alisema.

KABURINI KWA MAALIM SEIF

Akiwa katika kaburi la Maalim Seif, Shaka alisema yeye na msafara wake wamefika katika kaburi hilo kwa ajili ya kumuombea Dua Maalim Seif ambaye Mwenyezi Mungu amemuita na ameitikia.

“Wakati tunafanya hivi tunakumbuka ama tupo kwenye kumbukizi ya miaka 30 ya mfumo wa vyama vya siasa. Wakati tunakumbuka Maalim Seif Sharif Hamad tunakumbuka macho wake alioutoa katika nchi hii kuhuisha na kustawisha siasa za Tanzania.

“Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na kufanya siasa, alitanguliza huruma, alitanguliza upendo, lakini alikuwa na uvumilivu uliopitiliza katika kuendesha siasa za nchi hii, nyakati zote hata pale Chama Cha Mapinduzi kilipofungua milango ya maridhiano na mazungumzo Maalim Seif alitanguliza maslahi mapana ya Watanzania, lakini alitanguliza malahi mapana zaidi ya wazanzibari pamoja na kuwaunganisha,” alisema.

Akifafanua kuwa, hilo ni funzo kubwa kwa kizazi kilichobaki ambapo alitaka kuishi kwa kufuata nyayo zake badala ya kuongozwa katika jazba, chuki na mpasuko ndani ya Jamii na nchi kwa ujumla.

Alisema ni vyema Watanzania wakarudi kufuata nyayo za waliotangulia katika miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini, hivyo alisisitiza kuwa bado kuna nafasi ya kujenga leo ya Taifa na bado kuna nafasi ya kuweka mazingira rafiki kwa ajili ya vizazi vijavyo.

“Maalim Seif amefariki lakini ametuachia funzo kubwa, ametuachia deni kubwa ambalo limetuletea amani, umoja na mshikamano, ninachoweza kusema ni kwamba bila busara na hekima ya viongozi waliotangulia, matunda haya tuyaonayo leo yasingalikuwepo, Dunia leo hii imepata funzo kubwa kutoka Zanzibar na Tanzania, ndiomana leo hii tumefika hapa Mtambwe kukiwa na amani, wamoja bila kujali itikazi zetu za siasa, wala dini.

“Tumesimama wamoja na kumuenzi Maalim Seif Sharif Hamad hizi ni mbegu njema ambazo alizipanda kwa wazanzibari, alizipanda kwa Watanzania

Katika hatua nyingine, familia za viongozi hao kupitia wawakikishi wakiizungumza katika ziara hiyo ya shaka, waliiomba serikali kuboresha barabara zinazokwenda katika makaburi hayo.

 Wakizungumza kwa nyakati tofauti, walisema wamekuwa wakipokea ugeni wa viongozi mbalimbali wanaifika kuzuru makaburi hayo lakini miundombinu ya barabara sio rafiki, hivyo kusababisha usumbufu mkubwa.

About the author

Alex Sonna