Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya mazungumzo yao kwenye ofisi ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar Es Salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kusafisha Madini ya Dhahabu Geita (GGR), Sarah Masasi, ofisi ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar Es Salaam, Julai 13, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)