Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA UENDESHAJI WA BENKI YA DUNIA (IDA) AXEL VAN TROTSENBURG,DAKAR NCHINI SENEGAL

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal kabla ya kuanza mazungumzo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal kabla ya kuanza mazungumzo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg mara baada ya mazungumzo yao Dakar nchini Senegal

About the author

mzalendoeditor