Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATEMBELEA VIJIJI VILIVYOVAMIWA NA TEMBO WILAYANI NACHINGWEA NA KUTOA POLE KWA WANANCHI

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole   wananchi wa kijiji cha Namapuya wilayani Nachingwea baada ya kukagua mashamba yao yaliyoharibiwa na tembo waliovamia kijiji hicho, Julai 6, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwandila wilayani Nachingwea wakati alipotoa pole  kwa wananchi hao ambao   vijiji vyao vilivamiwa na tembo waliosababisha kifo cha mtu mmoja, Riziki Rashid Issa  na kuharibu mashamba ya mazao ya chakula katika baadhi ya vijiji wilayani humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor