Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKIMUAGA RAIS SAMIA AKIELEKEA DAKAR SENEGAL

Written by mzalendoeditor

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo tarehe 6 Julai 2022 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam,akiagana na Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango kabla ya kuondoka kuelekea Dakar nchini Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA Summit for Africa).

About the author

mzalendoeditor