Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKAGUA MASHAMBA YALIYOHARIBIWA NA TEMBO WILAYANI NACHINGWEA NA KUWAPA POLE WAATHIRIKA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mzee Athumani Mohamed Nkabuye  wakati alipokagua shamba la mtama la mzee huyo ambalo limeharibiwa na tembo waliokula zao hilo  katika kijiji cha Namapuya wilayani Nachingwe, Julai 6, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Lindi, Zainab Telack.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mzee Athumani Mohamed Nkabuye  wakati alipokagua shamba la mtama la mzee huyo ambalo limeharibiwa na tembo waliokula zao hilo katika kijiji cha Namapuya wilayani Nachingwe, Julai 6, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Lindi, Zainab Telack na kula ni  Mkuu wa wilaya ya Nachingwea, Hashim Abdallah Komba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor