Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MHAGAMA  AZINDUA HUDUMA YA HEKIMA BANKING TABASAMU LA KUSTAAFU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WASTAAFU IKIWEMO KUTAPELIWA MAFAO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na watumishi wanaotarajia kustaafu, wastaafu na watendaji wa Benki ya Stanbic kabla ya kuzindua huduma mpya ya kibenki ya Hekima Banking Tabasamu la Kustaafu inayotolewa na Benki ya Stanbic kwa ajili ya kuwawezesha wastaafu kuwekeza ili kuwa na maisha mazuri baada ya kustaafu.

Baadhi ya watumishi wanaotarajia kustaafu, wastaafu na watendaji wa Benki ya Stanbic wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) kabla ya waziri huyo kuzindua huduma mpya ya kibenki ya Hekima Banking Tabasamu la Kustaafu inayotolewa na Benki ya Stanbic kwa ajili ya kuwawezesha wastaafu kuwekeza ili kuwa na maisha mazuri baada ya kustaafu.

Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Rejareja cha Benki ya Stanbic, Bw. Omari Mtiga akieleza lengo la benki yake kuanzisha huduma ya Hekima Banking yenye kibwagizo cha tabasamu la kustaafu, kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kuzindua rasmi huduma hiyo kwa wastaafu.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akikata utepe kuzindua huduma mpya ya kibenki ya Hekima Banking Tabasamu la Kustaafu inayotolewa na Benki ya Stanbic kwa ajili ya kuwawezesha wastaafu kuwekeza ili kuwa na maisha mazuri baada ya kustaafu.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wanaotarajia kustaafu na wastaafu, mara baada ya waziri huyo kuzindua huduma mpya ya kibenki ya Hekima Banking Tabasamu la Kustaafu inayotolewa na Benki ya Stanbic kwa ajili ya kuwawezesha wastaafu hao kuwekeza ili kuwa na maisha mazuri baada ya kustaafu.

…………………………………………

Na. James K. Mwanamyoto-Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amezindua huduma mpya ya kibenki nchini ya Hekima Banking Tabasamu la Kustaafu inayotolewa na Benki ya Stanbic ili kutatua changamoto zinazowakabili wastaafu ikiwemo ya kutapeliwa mafao yao.

Mhe. Jenista mara baada ya kuzindua huduma hiyo ya kibenki jijini Dodoma, amesema huduma ya Hekima Banking maarufu kama Tabasamu la Kustaafu itawasaidia wastaafu kutoka katika mikono ya matapeli, wahuni na watu wanaoishi kwa ujanja ujanja kwa kuwalaghai wastaafu nchini.

Waziri Jenista amesema, ana imani kuwa, hakuna mstaafu atakayeangukia kwenye mikono ya wadhalimu iwapo atapata elimu inayotolewa na Benki ya Stanbic kuhusu Huduma ya Hekima Banking almaarufu kama Tabasamu la Kustaafu.

“Baada ya kupata elimu hii ya Hekima Banking, kila mstaafu atakuwa ametengenezewa utaratibu, miundombinu na mfumo mzuri wa kuwekeza kwenye shughuli za kiuchumi ambao utamuwezesha kuishi maisha mazuri yenye tabasamu baada ya kustaafu,” Mhe. Jenista amefafanua.

Akizungumzia wimbi la utapeli wanaofanyiwa wastaafu, Mhe. Jenista amesema, akiwa ndiye waziri mwenye dhamana ya Utumishi wa Umma, anatoa onyo kwa matapeli wote ambao wamekuwa wakijiandaa kwa kuweka mikakati ovu ya kuwatapeli watumishi wa umma wanaotarajia kustaafu na waliostaafu.

Kuhusu ubunifu wa Benki ya Stanbic kuanzisha huduma ya Hekima Banking kwa ajili ya kutatua changamoto za wastaafu, Mhe. Jenista ameishukuru na kuipongeza benki hiyo na kuziomba taasisi nyingine za kifedha kubuni huduma za kuwasaidia wastaafu kuwekeza mafao yao ili wawe na maisha mazuri yenye tabasamu la kudumu baada ya kustaafu.

“Kama taasisi zote za kifedha zitasimama imara na kufanya jambo zuri kama hili la Benki ya Stanbic la kuwaandalia wastaafu huduma nzuri ya kuwa na uwekezaji sahihi kupitia mafao yao, nina imani kuwa, wastaafu wote watawezeshwa kuwa na maisha mazuri yenye tabasamu la uhakika baada ya kustaafu,” Mhe. Jenista amesisitiza.

Aidha, ameongeza kuwa, taasisi za kifedha zikibuni huduma za kibenki kwa ajili ya kuwawezesha wastaafu kuwa na uwekezaji sahihi wa mafao yao, zitasaidia sana wastaafu kumudu gharama za maisha zikiwemo za matibabu, chakula na kusomesha kwa wastaafu ambao bado wanaendelea kusomesha watoto wao.

Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Rejareja cha Benki ya Stanbic, Bw. Omari Mtiga amesema, benki yao inayo furaha kubwa kuleta huduma ya Hekima Banking yenye kibwagizo cha tabasamu la kustaafu kwa wateja wao na watanzania kwa ujumla ili huduma hiyo iwanufaishe wastaafu wote nchini.

Bw. Mtiga amesema kuwa, Benki ya Stanbic imeanzisha huduma hiyo ya Hekima Banking maalumu kwa wastaafu baada ya kufanya utafiti wa zaidi ya miaka miwili uliolenga kuangalia ni nini watumishi wanaotarajia kustaafu na waliostaafu wanahitaji katika eneo la uwekezaji kupitia mafao, hivyo wao kama wataalamu wamekuja na huduma hiyo ambayo ni suhuhisho la changamoto zinazowakabili wastaafu wengi nchini.

Benki ya Stanbic imebuni na kuja na Huduma ya Hekima Banking maalumu kwa wastaafu nchini, ili kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita za kuweka mazingira bora ya kuwawezesha wastaafu kuishi maisha mazuri baada ya kumaliza jukumu la kulitumikia taifa.

About the author

Alex Sonna