Featured Kimataifa

MAKAMU WA RAIS MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA SINGAPORE

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 29 Juni 2022  akifanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Singapore Mheshimiwa Dkt. Vivian Balakrishnan, mazungumzo yaliofanyika L      isbon nchini Ureno yaliolenga kuongeza ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili hususani katika sekta ya usafirishaji wa majini, biashara pamoja bandari.

About the author

mzalendoeditor