Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA WAJUMBE WA BODI YA WADHAMINI TAASISI YA MWALIMU NYERERE

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku ambaye aliambatana na wajumbe wa Bodi hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam t

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku ambaye aliambatana na wajumbe wa Bodi hiyo mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam

About the author

mzalendoeditor