Featured Kitaifa

KATIBU MKUU WA CCM AZURU KABURI LA PETERO NKURUNZINZA GITEGA BURUNDI

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa pamoja na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kulia) na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kigoma Ndugu Amandusi Nzamba (kushoto) wakitoa heshima mbele ya kaburi la aliyekuwa Rais wa burundi hayati Petero Nkurunziza aliyefariki Juni 08, 2020 na kuzikwa hapo Gitega nchini Burundi.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa pamoja na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kulia) na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kigoma Ndugu Amandusi Nzamba (kushoto) wakiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa burundi hayati Petero Nkurunziza aliyefariki Juni 08, 2020 na kuzikwa hapo Gitega nchini Burundi.

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akishiriki kupiga ngoma maarufu ya Burundi inayoitwa Ingoma wakati alipotembelea eneo linalojengwa jingo kubwa la kufaniyia shughuli za kisiasa la CNDD-FDD kwenye mji wa Gitega, Burundi.

About the author

mzalendoeditor