Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA :KATIBU MKUU CCM AKISALIMIANA NA RAIS WA BURUNDI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo (kulia)mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya ufunguzi wa uwanja mpya wa michezo wa Nkurunziza Peace Park Complex uliopo mkoani Makamba, Burundi.

About the author

mzalendoeditor