Featured Kitaifa

HAMASA YA ASKARI WANAOLINDA USALAMA KATIKA ZOEZI LA UWEKAJI ALAMA ZA MIPAKA PORI TENGEFU LA LOLIONDO

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia wimbo wa hamasa kutoka kwa askari wanaolinda usalama katika zoezi la uwekaji  alama za mipaka kwenye Pori Tengefu la Loliondo wilayani  Ngorongoro wakati alipokagua  zoezi hilo, Juni 23, 2022. Kulia ni Waziri wa Maji, Juma Aweso na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela.Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor