marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

setrabet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

cratosroyalbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

royalbet

marsbahis

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

herabet

Featured Kitaifa

WABUNGE VINARA WAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUKEMEA VITENDO VYA UKATILI

Written by Alex Sonna

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake  na Makundi Maalum, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akifungua Kikao kazi cha kuwajengea uwezo wabunge vinara wa Ustawi wa Jamii kupaza sauti kuhusu vitendo vya ukatili kilichoandaliwa na Chama cha wataalam wa Ustawi wa Jamii, TASWO kilichofanyika leo Juni 21,2022 jijini Dodoma,

Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Wataalamu wa Ustawi wa Jamii TASWO,  Joseph Kahinga akitoa maelezo ya awali kuhusu kikao kazi cha kuwajengea uwezo wabunge vinara wa ustawi wa Jamii  kupaza sauti kuhusu vitendo vya ukatili  kwenye jamii,  kilichofanyika leo Juni 21,22 jijini Dodoma

Kamishna wa Ustawi wa Jamii Msaidizi Baraka Makona akizungumza kwenye kikao Kazi  cha kuwajengea uwezo wabunge vinara wa Ustawi wa Jamii kupaza sauti kuhusu vitendo vya ukatili kilichofanyika leo Juni 21,2022 jijini Dodoma 

Mkurugenzi wa Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Ntuli Kapologwe akizungumza wakati wa kikao cha kuwajengea uwezo wabunge vinara wa ustawi wa Jamii kupaza sauti kuhusu vitendo vya ukatili kwenye jamii, kinachofanyika leo Juni 21,2022 jijini Dodoma 

Katibu wa Kikundi cha wabunge vinara wa Ustawi wa Jamii Mhe. Justin Nyamoga akizungumza wakati wa kikao kazi cha kuwajengea uwezo wabunge hao kupaza sauti kwenye jamii kuhusu vitendo vya ukatili, kinachofanyika leo Juni 21,2022 jijini Dodoma 

Baadhi ya wabunge vinara wa Ustawi wa Jamii wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao cha kuwajengea uwezo wa kupaza sauti kuhusu vitendo vya ukatili kutoka kwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaid Ali Khamis kilichofanyika leo Juni 21,2022 jijini Dodoma.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM
………………………………………..
Na WMJJWM, Dodoma
Katibu wa Wabunge  vinara wa Ustawi wa Jamii Mhe.Justine Nyamoga amesema wapo tayari kushirikiana na Serikali kukemea vitendo vya ukatili kwenye jamii.
Mhe. Nyamoga ameyasema hayo Jijini Dodoma Juni 21, 2022 katika kikao kazi cha kuwajengea uwezo wabunge vinara wa Ustawi wa Jamii kuhusu utekelezaji, uendeshaji na usimamizi wa Afya mbalimbali za Ustawi wa Jamii katika ngazi ya Halmashauri.
“Sisi wabunge vinara tunawajibu wa kuwa mfano kwa Jinsi ambavyo tunaenenda Kwa kukataa vitendo vya ukatili na kupaza sauti kuhusu vitendo hivyo popote tutakapokuwa iwe ndani au nje ya Bunge katika kuiunga mkono Serikali yetu” amesema Nyamoga.
Nyamoga amepongeza pia hatua ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kuunda Wizara inayohusika na Masuala ya Ustawi wa Jamii pamoja na kuridhia katika ajira zinazotarajiwa kuwepo na Maafisa Ustawi wa Jamii ambapo amesema itasaidia kuondoa mkanganyiko uliokuwepo na kuimarisha utendaji 
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akifungua kikao hicho, amewapongeza wabunge Kwa hatua ya makusudi kuamua kuunda kikundi cha vinara kwa ajili ya kusaidia Jamii katika suala la ukatili wa kijinsia kuhakikisha unakwisha.
Mhe. Mwanaidi amewaomba wabunge hao kutoa elimu kuhusu ukatili wowote na madhara yake na kuwaeilimisha wananchi kushiriki katika kutoa ushahidi mahakamani kwa wanaokabiliwa na vitendo hivyo.
Ameongeza kwamba bado kuna upungufu wa Maafisa Ustawi wa Jamii katika Halmashauri hali inayochangia utoaji wa Huduma za Ustawi kutopatikana kwa urahisi.
“Huduma za Ustawi wa Jamii zinahitaji kufikia  Jamii na Makundi yenye mahitaji Maalum kwa wakati ili kutatua changamoto zinazowakabili ili washiriki kikamilifu katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa, hata hivyo kuna idadi ndogo ya Maafisa Ustawi wa Jamii wanaopaswa kusaidia na kutoa huduma hizo” amesema Mhe. Mwanaidi.
Akizungumza katika kikao hicho Mkurugenzi wa Afya, lishe na Ustawi wa Jamii kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Ntuli Kapologwe amewashukuru wabunge vinara kwa kuisaidia Serikali kusukuma mbele masuala ya Ustawi wa jamii tangu kikundi cha wabunge hao vinara kianzishwe mwaka 2021.
Dkt  Kapologwe amesisitiza uhitaji wa Maafisa Ustawi wa Jamii ni mkubwa na kwamba Serikali inazingatia na kulipa uzito suala hilo.
“Katika kibali cha ajira ambacho tutaajiri watumishi wa Afya 7612 ndani yake Kuna Maafisa Ustawi wa Jamii na Maaafisa lishe ambayo itasaidia sana kupynguza changamoto iliyopo” amesema Dkt. Ntuli.
Aidha amesema kupitia ajira zilizopitishwa na Mhe. Rais matarajio ni kuwa Maafisa Ustawi wa Jamii katika vituo vyote vya kutolea Huduma za Afya kwenye kila Halmashauri ambayo itasaidia kupambana na vitendo vya ukatili na Masuala ya ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu na mimba za utotoni.
Awali akieleza lengo la kikao hicho Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Joseph Kahinga amebainisha kwamba wabunge wakipata uelewa wataweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kuimarisha utekelezaji wa Huduma za Ustawi wa Jamii kwa kupaza sauti katika maeneo yao.

About the author

Alex Sonna