Burudani Featured

WAZIRI MCHENGERWA ATETA NA NGULI WA FILAMU WA NIGERIA

Written by mzalendoeditor

p> 

Na John Mapepele
Waziri
wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa amekutana na
msanii nguli kutoka Nigeria Jim  Iyke na kufanya mazungumzo ya
mashirikiano katika kuandaa filamu za kimkakati za pamoja baina ya
Tanzania na Nigeria 
Mazungumzo
haya yamefanyika leo Juni 14, 2022 jijini Dodoma  ambapo wamekubaliana 
kuwa na mashirikiano  kwenye filamu za kimkakati kwa faida za pande
zote mbili.
Aidha,  Mhe.
Mchengerwa amesema mashirikiano hayo yataifanya Tanzania kunufaika zaidi
kwa kufanya kazi na manguli wa filamu wa Nigeria ambao wanawapenzi 
wengi duniani.
Waziri Mchengerwa ametumia fursa hiyo kuwakaribisha watu mbalimbali duniani kuja kuwekeza  kwenye sekta ya Sanaa na Michezo.

Ameongeza kuwa kwa sasa  tayari imeshusha kodi ya zuio katika biashara ya filamu kutoka asilimia 15 hadi 10 ili kuyapa unafu

About the author

mzalendoeditor