Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, Mhe. David Concar alipomtembelea leo Juni 15, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, Mhe. David Concar alipomtembelea leo Juni 15, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor