Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA NA VIONGOZI3 WA DINI WA KITAIFA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Viongozi wa Dini wa Kitaifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa kamati ya Viongozi wa Dini na Askofu Mkuu wa kanisa la Menonite, Askofu. Nelson Kisare (kulia kwake) walipomtembelea leo Juni 15, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendoeditor