Featured Kitaifa

RAIS DKT.MWINYI ATETA NA WAFADHILI WA UJENZI WA KITUO CHA MATIBABU YA MOYO ZANZIBAR.

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wafadhili kutoka Uongozi wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Hauklend cha Nchini Norway ukiongozwa na Mfadhili Bw.Trond Mohn (kulia kwa Rais)  wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 15-6-2022, kuelezea ufadhili wao wa Ujenzi wa Kituo cha Matibabu ya Moyo Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kiongozi wa Ujumbe wa Wafadhili kutoka Chuo Kikuu cha Hauklend kutoka Nchini Norway Bw.Trond Mohn, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 15-6-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor