Featured Kitaifa

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA KAMATI YA USHAURI YA TAIFA KUHUSU “GENERATION EQUALITY FORUM “

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Taifa kuhusu “Generation Equality Forum” Mhe. Angela Kariuki, akitowa maelezo ya Kazi ya Kamati hiyo wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,akiwa na Ujumbe wake walipofika kujitambulisha leo 15-6-2022, (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Mgeni Hassan Juma.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kamati ya Ushauri ya Taifa kuhusu”Generation Equality Forum, ukiongiozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Angela Kariuki (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 15-6-2022, walipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Kamati ya Ushauri ya Taifa kuhusu “Generation Equality Forum” baada ya kumaliza mazungumzo yao walipofika Ikulu Zanzibar leo. Angela Kariuki15-6-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor